Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hawataki hili swala liongelewe Wala lijadiliwe mahali popote pale abadanš
Tunavyoonekana kwenye uso wa dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawataki hili swala liongelewe Wala lijadiliwe mahali popote pale abadanš
Majuha fulani hivi ššView attachment 1684554
Tunavyoonekana kwenye uso wa dunia.
COVID is a public health issue, wizara ya afya ina mandate ya kuielimisha jamii.Chamsingi ni tahadhali tu kwa kila mtu na mazingira yake,siyo lazima serikali ikwambie........ulinzi wa afya yako unaanza nawewe mwenyewe
Waziri mwenyewe ndiyo kama mnavyomuona,hawezi kumuangusha headmaster wa nchi ambaye anaamini hatuna kovidi.....chamsingi ni kila mtu aanze kuchukua tahadhali kwenye family level,then kila mtu itamfikia.....kuna rafiki yangu Muhindi Baba yake tumemchoma juzi tu alifia Hindu mandal kwa pneumonia,nilibahatika kufika pale kuna nesi akaniambia mwanangu kaa nao mbali hao,wanamoto........COVID is a public health issue, wizara ya afya ina mandate ya kuielimisha jamii.
Unajua kukiwa na lockdown kodi zako zitaongezeka maradufu. Utalipa kwa miaka kama kumi.COVID is a public health issue, wizara ya afya ina mandate ya kuielimisha jamii.
Kwani tahadhari za kuchukua dhidi ya COVID ni kujifungia tu? Umeona hamasa yeyote ya watu kunawa mikono kila mara au kutembea na sanitizer/ kuvaa barakoa.Unajua kukiwa na lockdown kodi zako zitaongezeka maradufu. Utalipa kwa miaka kama kumi.
Ukitoka nyumbani kwako polisi wanakusumbua. Ugonjwa wenyewe unabadilika kila siku. Kuna South African variety which doesn't respond well to current vaccine.
Kwa miaka mingapi unajifungia?
Hivo vitu ni common sense. Unajua kuna ugonjwa, uwe makini.Kwani tahadhari za kuchukua dhidi ya COVID ni kujifungia tu? Umeona hamasa yeyote ya watu kunawa mikono kila mara au kutembea na sanitizer/ kuvaa barakoa.
Katika matatizo ya kiuchumi ndiyo maana tunapata misaada na mikopo ili tuweze kupambana na ugonjwa.
Malaria ni communicable disease throgh a mosquito bite but COVID is a rapid communicable disease. Ni kwanini unafikiri dunia yote inachukua tahadhari .Hivo vitu ni common sense. Unajua kuna ugonjwa, uwe makini.
TB, Maleria, UTI, magonjwa mengi tunachukua tahaedhari.
vitu ni common sense. Unajua kuna ugonjwa, uwe makini.
TB, Maleria, UTI, magonjwa mengi tunachukua tahaedhari.
Bak tunajua Covid ipo. Usiangalie Rais anafanya nini. Jiongeze.Hakuna common sense wakati Watanzania tunaendelea kuaminishwa kwamba hakuna COVID-19 nchini. Hata baada ya UK kupiga marufuku Watanzania kuingia UK Serikali imeamua kuwa kimya kabisa. Hivi kuna faida ipi ya kuendelea kusema uongo huku vifo vinavyosababishwa na COVID-19 vikizidi kuongezeka?
Kaikimbia Dodoma kwa wiki ya nne sasa kwa sababu kule ugonjwa umepamba moto, kwanini aendelee kusema uongo ambao unasababisha maambukizi kuwa makubwa?
Amuangushe halafu watoto wake waendeje chooni š¤£Waziri mwenyewe ndiyo kama mnavyomuona,hawezi kumuangusha headmaster wa nchi ambaye anaamini hatuna kovidi.....chamsingi ni kila mtu aanze kuchukua tahadhali kwenye family level,then kila mtu itamfikia.....kuna rafiki yangu Muhindi Baba yake tumemchoma juzi tu alifia Hindu mandal kwa pneumonia,nilibahatika kufika pale kuna nesi akaniambia mwanangu kaa nao mbali hao,wanamoto........
Niliacha kumuita Rais miaka mingi tu. Rais hawezi kujiita jiwe au mwendawazimu.
Bak tunajua Covid ipo. Usiangalie Rais anafanya nini. Jiongeze.