Let's call a spade as it is suppossed to be, and not a big spoon of its own kind as per value judgment of some ignorant people.
Madktari wanaongea kwa uwazi na kuthibitisha kisayansi kuhusu kuongezeka kwa tishio na changamoto hii ya gonjwa la mapafu hapa nchini hivi sasa. Wataalamu wa wizara ya afya wanaogopa na kukosa ujasiri wa kufanya hivyo. Sijui tatizo hata ni nini!
Hivi kuna heshima gani ktk kuficha maradhi? Je! Ni uzalendo kuficha maradhi yanatunyemelea kama taifa ili kimmfurahisha mtu mmoja mwenye mamlaka ya kikatiba juu yetu?