Ningepiga lockdown kuanzia saa sita usiku hadi kumi asubuhi, full kunawa mikono kwa sabuni ya mche, update Kila miezi mitatu, no kifo, ni kupona tu, wakubwa wangeshusha pressure, vinginevyo sisi ndo tu tutapigwa lock up na jumuia ya kimataifa.
Unafikiri hiyo lockdown ya usiku itasaidia chochote?

Kuhusu Jumuiya ya kimataifa of course we have to deal with them wisely.

Sisi sio kisiwa, Na Corona haichagua nchi, binadamu, colour, continent.
 
Taratibu, tulia kidogo tutaongea baadaye.
 
Agreed 100%.
 
I am not talking about perfectlion even Baba wa Taifa was not perfect, but this guy is a DISASTER and DISGRACEFUL for the country as he is unfit to lead anything under the sun.
Duh, sasa amefikaje hapo alipo sasa? Halafu kama hana quality yoyote ya kiuongozi, kwanini wengine wanamsikiliza na kumpigia kura?
 
Kwa upumbavu uliokithiri ndiyo kafika hapo alipo. Nchi zenye utawala wa sheria wizi na ufisadi alioufanya huyu tangu awamu ya tatu ungeshampeleka lupango kwa mvua nyingi tu. October 28 kaua, kaiba huku akisaidiwa na polisiccm na tume fake ili kupora uchaguzi. Hulijui hilo la kupora uchaguzi kwa njia ya mtutu?
Duh, sasa amefikaje hapo alipo sasa? Halafu kama hana quality yoyote ya kiuongozi, kwanini wengine wanamsikiliza na kumpigia kura?
 
Jomba usilete mawazo ya vitabuni na assumptions zake...utapotea kabisa,. Weka pia na sehem ya imani kwa Mungu...au huamini Tena kwamba Mungu anaponya. Kama Mungu hashindwi na lolote what's this Corona in front of him..
 
KATU HAWEZI KUELEWA KABISA UNACHOSEMA, HUYO NI akili ndogo
 
Jomba usilete mawazo ya vitabuni na assumptions zake...utapotea kabisa,. Weka pia na sehem ya imani kwa Mungu...au huamini Tena kwamba Mungu anaponya. Kama Mungu hashindwi na lolote what's this Corona in front of him..
Hilo swali halikuwa kwa nyie ambao mnaamini hakuna corona bali kwa watu wenye kuamini corona ipo ila maambukizi yake ni machache, ndio nimehoji iweje maambukizi yawe machache hali ya kuwa hakuna tunachofanya kuzuia maambukizi?

Kuhusu suala la Mungu kuponya sina shaka kabisa,ila Tz tulianza kuacha kutoa takwimu za ugonjwa wakati ugonjwa bado upo kisha ndio tukaja kutangaza kuwa corona imeondoka kwa maombi.
 
Well it was a bit over the top. Hasa kuwaengua wagombea wa upinzani.

Lakini angeshinda hata kama ungekuwa 100% free, fair, 100% legit election.

Unajua Sera ya matusi, kejeli, dharau hazijawahi kumpa mtu ushindi, hasa upinzani. Dignity, respect, seriousness, mikakati thabiti ndio ushindi unapopatikana.
 
Mbona hamtaki kukiri kama wanavyokiri WHO, nyie wababaduaji wa mambo!??? Hata ungefichaje takwimu, kama dude lingekuwepo lingeshatulipukia ileee kitambo vibaya mno tu. That's simple logic, simple Mathematics, and nothing like rocket [emoji573] science ama Einstein genius inayohitajika.
 
Well-said. Insiders wengi tu wa upande wao walimwonya Mr Mzungu kwa sera yake duni ambayo isingekuwa na faida yoyote kwenye kampeni tangu ile kuzunguka kutafuta udhamini, akawa hardheaded.
 
Hebu acha kujitoa ufahamu! Ila sera za kidikteta, mauaji, kudharau katiba, Bunge, mahakama, ubadhirifu wa pesa za walipa kodi kwa maamuzi yasiyo na tija kwa Watanzania, kusema uongo, kupindisha sheria za Nchi kwa kubambikia Watanzania kesi fake ili kuwafunga bila dhamana na kutishia vipigo kwa akina mama na kuwatisha wanahabari ndiyo zinashinda uchaguzi siyo?
 
Unajua hata kama kuna ufisadi, upumbavu bado ibabidi uwe na ushawishi fulani kwa mafisadi wenzio na Watanzania wapumbavu kama unavyowaita wakupigie kura.
 
Kwahiyo unafikiri Upinzani ungeweza kushinda uchaguzi?

By the way mimi siko CCM.
 
Well-said. Insiders wengi tu wa upande wao walimwonya Mr Mzungu kwa sera yake duni ambayo isingekuwa na faida yoyote kwenye kampeni tangu ile kuzunguka kutafuta udhamini, akawa hardheaded.

Nafikiri Dr Slaa, Nyalandu au Mbowe wangefanya vizuri zaidi. They are dignified, serious, don't look for cheap popularity, mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…