Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri hiyo lockdown ya usiku itasaidia chochote?Ningepiga lockdown kuanzia saa sita usiku hadi kumi asubuhi, full kunawa mikono kwa sabuni ya mche, update Kila miezi mitatu, no kifo, ni kupona tu, wakubwa wangeshusha pressure, vinginevyo sisi ndo tu tutapigwa lock up na jumuia ya kimataifa.
Taratibu, tulia kidogo tutaongea baadaye.Ni makosa kuwa na magonjwa mengine au ni kuwa less human? Hivyo kwako wenye magonjwa mengine na wafe tu?
Kwamba ulipata ukapona ndiyo kipimo sasa cha kuwa huu ugonjwa si hoja?
Walioangalia antibodies zako ni hawa hawa wanaosema corona imeondoshwa na Mungu Tanzania?
Mumiani hawajawahi kustuliwa na vifo vyovyote kwani kila kifo kwao ni nyama ya kula.
Agreed 100%.Sio lazima tuwe na lockdown ila tukivaa barakoa, kutopeana mikono (makanisani, misikitini na kwingine), kuosha mikono na maji safi, kusanitize na kujipa nafasi (social distancing) tutapunguza maambukizi kwa kiwango kikubwa sana..
hata baa au mgahawani, zile meza zilivyowekwa tayari kuna nafasi ya kusocial distance.. Hakuna anayesema tuingie kwenye hard lockdown kama ya Uingereza au Sauzi, ila tunasema (1) acknowledge uwepo wa corona (2) toa tahadhari kwa wananchi ambao ndio walipo kodi na hivyo ni lazima wajue muenendo wa nchi yao (3) control the narrative kwa kuwasaidia wasioelewa jinsi ya kujikinga, kujitibu na kusaidia wengine instead of kuogopa..
Tuache kutengeneza correlation ya covid (corona) na lockdown..
Tukuweke wewe uwe Rais.Tutus lako limefeli sana ingawa lenyewe linajiona eti limewazidi wengine!
Duh, sasa amefikaje hapo alipo sasa? Halafu kama hana quality yoyote ya kiuongozi, kwanini wengine wanamsikiliza na kumpigia kura?I am not talking about perfectlion even Baba wa Taifa was not perfect, but this guy is a DISASTER and DISGRACEFUL for the country as he is unfit to lead anything under the sun.
Duh, sasa amefikaje hapo alipo sasa? Halafu kama hana quality yoyote ya kiuongozi, kwanini wengine wanamsikiliza na kumpigia kura?
Jomba usilete mawazo ya vitabuni na assumptions zake...utapotea kabisa,. Weka pia na sehem ya imani kwa Mungu...au huamini Tena kwamba Mungu anaponya. Kama Mungu hashindwi na lolote what's this Corona in front of him..Kwanini unafikiri maambukizi pengine ni madogo sana Tz hali ya kuwa kuna kila sababu ya kuwa na maambukizi kuzidi hata majirani zetu? Maana kama majirani zetu ugonjwa unawasumbua na ndio wanazingatia tahadhari za kujikinga na huo ugonjwa basi ni akili ya kawaida tu kujua sie tusiozingatia tahadhari zozote za kujikinga tutakuwa na maambukizi makubwa.
KATU HAWEZI KUELEWA KABISA UNACHOSEMA, HUYO NI akili ndogoJomba usilete mawazo ya vitabuni na assumptions zake...utapotea kabisa,. Weka pia na sehem ya imani kwa Mungu...au huamini Tena kwamba Mungu anaponya. Kama Mungu hashindwi na lolote what's this Corona in front of him..
Swali simpo jomba..kwake ..je anaamini kwamba Mungu anaweza kuponya au haamini..tuanzie hapo tumwelewesheKATU HAWEZI KUELEWA KABISA UNACHOSEMA, HUYO NI akili ndogo
Nadhani nafikiri siielewi mantiki ya swali lako, ukizingatia komenti yangu hapo juuSwali simpo jomba..unaamini kwamba Mungu anaweza kuponya au huamini..tuanzie hapo
Hilo swali halikuwa kwa nyie ambao mnaamini hakuna corona bali kwa watu wenye kuamini corona ipo ila maambukizi yake ni machache, ndio nimehoji iweje maambukizi yawe machache hali ya kuwa hakuna tunachofanya kuzuia maambukizi?Jomba usilete mawazo ya vitabuni na assumptions zake...utapotea kabisa,. Weka pia na sehem ya imani kwa Mungu...au huamini Tena kwamba Mungu anaponya. Kama Mungu hashindwi na lolote what's this Corona in front of him..
Well it was a bit over the top. Hasa kuwaengua wagombea wa upinzani.Kwa upumbavu uliokithiri ndiyo kafika hapo alipo. Nchi zenye utawala wa sheria wizi na ufisadi alioufanya huyu tangu awamu ya tatu ungeshampeleka lupango kwa mvua nyingi tu. October 28 kaua, kaiba huku akisaidiwa na polisiccm na tume fake ili kupora uchaguzi. Hulijui hilo l kupora uchaguzi kwa njia ya mtutu?
Mbona hamtaki kukiri kama wanavyokiri WHO, nyie wababaduaji wa mambo!??? Hata ungefichaje takwimu, kama dude lingekuwepo lingeshatulipukia ileee kitambo vibaya mno tu. That's simple logic, simple Mathematics, and nothing like rocket [emoji573] science ama Einstein genius inayohitajika.Hilo swali halikuwa kwa nyie ambao mnaamini hakuna corona bali kwa watu wenye kuamini corona ipo ila maambukizi yake ni machache, ndio nimehoji iweje maambukizi yawe machache hali ya kuwa hakuna tunachofanya kuzuia maambukizi?
Kuhusu suala la Mungu kuponya sina shaka kabisa,ila Tz tulianza kuacha kutoa takwimu za ugonjwa wakati ugonjwa bado upo kisha ndio tukaja kutangaza kuwa corona imeondoka kwa maombi.
Well-said. Insiders wengi tu wa upande wao walimwonya Mr Mzungu kwa sera yake duni ambayo isingekuwa na faida yoyote kwenye kampeni tangu ile kuzunguka kutafuta udhamini, akawa hardheaded.Well it was a bit over the top. Hasa kuwaengua wagombea wa upinzani.
Lakini angeshinda hata kama ungekuwa 100% free and fair election.
Unajua Sera ya matusi, kejeli, dharau hazijawahi kumpa mtu ushindi, hasa upinzani. Dignity, respect, seriousness, mikakati thabiti ndio ushindi unapopatikana.
Well it was a bit over the top. Hasa kuwaengua wagombea wa upinzani.
Lakini angeshinda hata kama ungekuwa 100% free and fair election.
Unajua Sera ya matusi, kejeli, dharau hazijawahi kumpa mtu ushindi, hasa upinzani. Dignity, respect, seriousness, mikakati thabiti ndio ushindi unapopatikana.
Kwa upumbavu uliokithiri ndiyo kafika hapo alipo. Nchi zenye utawala wa sheria wizi na ufisadi alioufanya huyu tangu awamu ya tatu ungeshampeleka lupango kwa mvua nyingi tu. October 28 kaua, kaiba huku akisaidiwa na polisiccm na tume fake ili kupora uchaguzi. Hulijui hilo la kupora uchaguzi kwa njia ya mtutu?
Hebu acha kujitoa ufahamu! Ila sera za kidikteta, mauaji, kudharau katiba, Bunge, mahakama, ubadhirifu wa pesa za walipa kodi kwa maamuzi yasiyo na tija kwa Watanzania, kusema uongo, kupindisha sheria za Nchi kwa kubambikia Watanzania kesi fake ili kuwafunga bila dhamana na kutishia vipigo kwa akina mama na kuwatisha wanahabari ndiyo zinashinda uchaguzi siyo?
Well-said. Insiders wengi tu wa upande wao walimwonya Mr Mzungu kwa sera yake duni ambayo isingekuwa na faida yoyote kwenye kampeni tangu ile kuzunguka kutafuta udhamini, akawa hardheaded.