Uko sahihi, sasa kama hawasemi maisha yako, uhai wako inabidi usubiri statements zao?

Of course ingesaidia. Lakini tupo hapa tulipo. Tujiongeze. Chukua tahadhari.
 
Ni kama vile Jiwe ame bet maisha ya Watanzania. Kwa akili ya Jiweanaweza kuwa anajisemea, " Tanzania kuna raia million 60, hata wakifa one million, NOT BAD! " Jiwe roho yake ngumu mnoooo
Duh, ila atajuaje kama kati ya milliioni moja hawawezi kuwa ndugu zake, familia yake, marafiki zake, yeye mwenyewe? Sababu ugonjwa hauchagui.
 
Uko sahihi, sasa kama hawasemi maisha yako, uhai wako inabidi usubiri statements zao?

Of course ingesaidia. Lakini tupo hapa tulipo. Tujiongeze. Chukua tahadhari.
Ndomana nasema za kuambiwa changanya na zako...
Uzuri wa hii kitu inatandika kote kote
Ila kuna watu wajanja wao wamejitenga kimyaaa

Ova
 
Ofisi za serikali naona wameambiwa imerudi. Uhamiaji kurasini naona huingii Hadi barakoa na lazima uoshe mikono hapo nje
 
Spiritual vs Science.
Tanzania kwenye suala la COVID-19 tumeamua kwemda ki spiritual zaidi...tumetofautiana na ulimwengu mzima.

Maombi ya kitaifa yameifukuza Corona nje ya mipaka yetu
 
Mkuu hata ile mwanzo ambapo ulikuwa unaona corona ya Tz inauwa ni kutokana na zile takwimu tu lakini huku mitaani hali ilikuwa kama ilivyo sasa na si kwamba labda tulikuwa tunaokota maiti barabarani au hospitali zilizidiwa wagonjwa, sasa sijui wewe ulitaka uone kipi ambacho ndio kingekufanya useme corona ya inauwa? Kama unabisha hicho nilichokueleza mwambie Magufuli arudie kupima corona na kutoa takwimu halafu uone.

Kwahiyo tokea kipindi kilichokuwa kinatufanya tuone corona ni hatari ni zile takwimu ila huku mtaani hali ilikuwa kawaida tu kama sasa
 
Hakuna corona acheni yoga fanyeni KAZI bhana.

Mkiitajataja itawapitia wote mnaoipenda
 
Ni kama vile Jiwe ame bet maisha ya Watanzania. Kwa akili ya Jiweanaweza kuwa anajisemea, " Tanzania kuna raia million 60, hata wakifa one million, NOT BAD! " Jiwe roho yake ngumu mnoooo
Tokea mwaka jana mwanzo wa mwaka hadi leo bado unazungumzia suala la Magufuli kubet kwenye corona? mbona alishapita huko.
 
humu kila kukicha ni kung'ang'ania korona
Watu wa Humu wananishangaza mwenzenu.
Wajinga hao, hanajifanya wasomi kumbe bure tu.
Wewe mwenyewe huna Corona
Baba/ mama yako hawana Corona
Mkeo / wanao hawana Corona
Ndugu yako yeyote hana Corona
Jirani yako hana Corona
Mtaani kwenu kote hakuna alie thibitika na Corona

Sasa kama Corona ipo inayo nani?
Binafs naona ni usanii tu.
 
Hivi Tanzania kuna serikali kwani?Mimi naona tunapuyanga tu tumepoteza dira
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay

Majuzi nlikaa nae karibu sasa nkaanza kupata dalili za kichwa kuuma na mwili kuchoka hasa viungo

Sasa leo siku nzima ni mafua kama maji....kwa hatua hii najiona cpo vizuri kabisa

Nipeni mbinu nzuri za kuanza kujitibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…