citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Ushauri mzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UwiiiiiView attachment 1685530
Aina ile ya Kirusi kikali imethibitika kwa mtu aliyekuwa Bongo
Tujkinge, hii kitu ni noma!
Uko sahihi, sasa kama hawasemi maisha yako, uhai wako inabidi usubiri statements zao?Wahusika wangesema hadharani
Watanzania huyu mgeni yupo chukueni tahadhari!
Epukeni mikusanyiko isiyokuwa na lazima etc
Tatizo linakuja huyu anasema hivi anakuja mwingine anasema huyu mgeni tushamfukuzia mbali,sijui nawashanga watu wanavaa mabarakoa ...maneno ya majigambo
Any way ....kikubwa ni kujiongeza mwenyewe
Kila mtu ataubeba mzigo wake
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duh, ila atajuaje kama kati ya milliioni moja hawawezi kuwa ndugu zake, familia yake, marafiki zake, yeye mwenyewe? Sababu ugonjwa hauchagui.Ni kama vile Jiwe ame bet maisha ya Watanzania. Kwa akili ya Jiweanaweza kuwa anajisemea, " Tanzania kuna raia million 60, hata wakifa one million, NOT BAD! " Jiwe roho yake ngumu mnoooo
Ndomana nasema za kuambiwa changanya na zako...Uko sahihi, sasa kama hawasemi maisha yako, uhai wako inabidi usubiri statements zao?
Of course ingesaidia. Lakini tupo hapa tulipo. Tujiongeze. Chukua tahadhari.
Mkuu hata ile mwanzo ambapo ulikuwa unaona corona ya Tz inauwa ni kutokana na zile takwimu tu lakini huku mitaani hali ilikuwa kama ilivyo sasa na si kwamba labda tulikuwa tunaokota maiti barabarani au hospitali zilizidiwa wagonjwa, sasa sijui wewe ulitaka uone kipi ambacho ndio kingekufanya useme corona ya inauwa? Kama unabisha hicho nilichokueleza mwambie Magufuli arudie kupima corona na kutoa takwimu halafu uone.Naelekea kukubaliana na wewe iwapo utakiri tu kwamba korona ya Tanzania haiui. Don't ever forget kwamba WHO pamoja na wapiga kelele kama nyie mlisema wazi kwa hatua ya JPM kukataa utanibishaji (^lockdown^), countless dead bodies would be found scattered all over the streets. Umeisahau hotuba ileeee ndeefuu motomoto ya Mr Hai kwamba ^it's just a matter of time^ before JPM in his ^state of denial^ would be forced to accept reality!?
Kuna kipindi waliacha huo utaratibu?Ofisi za serikali naona wameambiwa imerudi. Uhamiaji kurasini naona huingii Hadi barakoa na lazima uoshe mikono hapo nje
Tokea mwaka jana mwanzo wa mwaka hadi leo bado unazungumzia suala la Magufuli kubet kwenye corona? mbona alishapita huko.Ni kama vile Jiwe ame bet maisha ya Watanzania. Kwa akili ya Jiweanaweza kuwa anajisemea, " Tanzania kuna raia million 60, hata wakifa one million, NOT BAD! " Jiwe roho yake ngumu mnoooo
Wajinga hao, hanajifanya wasomi kumbe bure tu.humu kila kukicha ni kung'ang'ania korona
Watu wa Humu wananishangaza mwenzenu.
Mtaje mmoja unae mjua.Watu wanakufa kimyakimya..huruma Sana.
Aliyekuwa mpangaji wetu..Mtaje mmoja unae mjua.
Hana jina.Aliyekuwa mpangaji wetu..