#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay..
Sasa mbona kichwa cha habari hakina uhusiano na habari husika??
 
Group letu la watu 10 tuliokuwa na presentation wawili hawakuweza kwa kuumwa, nina rafiki mwingine anaumwa since last week ila kwa vile huwa tunapima tu malaria na amekuta hana basi hajui anaumwa nini atapona tu juu kwa juu.

Mwenyewe naumwa tangu Jumamosi dalili hazieleweki. Lakini nina imani na nyungu ya tangawizi, swaumu, mwarobaini na limao. Hii iliniokoa sana mwezi March mwaka jana nilivyokuwa mtaani nikitafuta wakati PM alipofunga.
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay.....
Tafuta mmea unaoitwa " Umulavumba " chuma majani yake tafuna usimeze au yachemshe kama vile majani ya chai, kunywa kwa kiasi hata ndani ya masaa 6-8, kisha lete mrejesho baada ya kupona. Waulize waha watakuonyesha mmea wenyewe.
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay....
hii nchi ni tajiri haiwezi kuwa na Corona huo ni uzushi au nasema uongo ndugu zanguuuu
 
Jamani hii kitu ipo ila muhimu sana kuwalinda wazee na watoto sababu nmeona vijana una-survive kabisa ila sasa makundi hayo inabidi tuyalinde

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Piga nyungu kijana maana nafasi huku mbinguni zimejaa...

Kina malaika Gabriel na Rafael wanafanya kazi usiku na mchana kuchonga viti vingine kwaajili ya waja
 
10126120311.jpg
 
Yani waziri wa afya alivyo na misimamo mikali vile kuwepo na ugonjwa hatari wa Corona halafu asiseme ili wananchi tuchukue tahadhari?!
 
^imetapakaa^!??? Halafu kimfano chenyewe kimoja cha mgonjwa wa cold (mafua)!??? By the way, mafua ya korona ni dry, kikohozi ni dry. Kubana kifua na mwasho wa koo; pumzi kubana ama upumuaji wa shida. Kichwa kuuma sanaa na ghafla pamoja na kuhisi uzito kichwani ndani (internal pressure)
 
Kama mafua yanatiririka kama maji sio Covid. Kunywa maji ya kutosha, machungwa, limao na dawa za mafua utapona
 
Akili za kupewa changanya na zako


Corona ingekuwepo kila mtu ana macho tungeoana alafu kwann tunaamini ni corona wakati kuna magonjwa zaidi ya corona na maisha hayajawai simama iweje leo wazungu wanatulazimisha tukubaliane kuwa corona ipo tanzania.??? Wazungu wanashida gani na sisi watanzania wametuletea ugaidi tukawatupia lawama waislamu.wakaleta sheria zao kuwatambua mashoga tukawaangalia. tena leo hii wametuletea corona kwenye media.kila wakati breaking news wamekufaaa watu kadhaa south africa mara wamekufa watu kadhaa nchi jiran .Ili tuogope mwisho wa siku walete chanjo zao KWA ulazima.na hii kitu ya chanjo kuikwepa ni ngumu Sana KWA sababu watakuwekea vikwazo hadi utaomba poo.Serikal inaweza kukubali hata KWA siri na chanjo ikwbadilishwa jina badala ya corona ikaitwa ya malaria ikawa KWA lazima



Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mmea unaoitwa " Umulavumba " chuma majani yake tafuna usimeze au yachemshe kama vile majani ya chai, kunywa kwa kiasi hata ndani ya masaa 6-8, kisha lete mrejesho baada ya kupona. Waulize waha watakuonyesha mmea wenyewe.
Tuletee jani hilo tulijue wote hii ni vita mula
Piga picha tulione utasaidia wengi
 
Back
Top Bottom