#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Tuletee jani hilo tulijue wote hii ni vita mula
Piga picha tulione utasaidia wengi
CORRONA SIO HATARI ILA HATARI NI JINSI UTAKAVYOPOKEA KULINGANA NA MATANGAZO YA MAGHARIBI. HATA HIV/AIDS ILIANZA KISANII HIVIHIVI LEO WANAINGIZA PESA BILA JASHO. MALENGO NI KUUZA VIFAA TIBA NA CHANJO ILI DUNIA IBALANCE KIBIASHARA. ASIYEELEWA AULIZE SWALI.
 
Hii video imezunguka sana, . Ila kusema hakuna korona ni uuaji. Mungu ngoja akuonyeshe kuwa korona ipo. Usiwapotoshe watu, kuna watu mbumbumbu dira za maisha yao wanategemea matamshi ya wanasiasa, viongozi wa dini, wazee etc. Hivyo ukisema hakuna korona unamwaga mauti
 
IMG-20210126-WA0001.jpg
 
Kwahiyo mlivyougua watu wawili kazini kwenu ndo ukaja na conclusion kwamba korona imetapakaa dar, elimu bure kwa kweli imetuletea janga la vilaza..
 
Ndio tatizo la wabongo mpaka mutanfaziwe ndio muchukue tahadhari. Wewe ni mtu mzima una akili timamu why usubiri utangaziwe! Akili zingine bwana!
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay...
Acheni propaganda za wazungu hakuna corona duniani ,hayo ni mafua tu yataisha.
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay..
Mkuu unajua incubation period ya covid 19
 
Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay..
Mkuu chemsha tangawizi kwa Fujo unywe Mara kwa Mara.
 
Wananchi tuna maamuzi kutokana na kinachoendelea na tunacho kishuhudia, tunaambiwa hakuna corona ila shida na matatizo ya kupumua wanazo zipata ndugu na marafiki zinatuelekeza tuchukue tahadhari na tuwe na maamuzi na si vinginevyo.

Siasa hawezi kamwe kuchangamana na maswala ya taaluma juna haja kukataa haya kwa nguvu zote ili tubaki salama.
 
Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Man nikupongeze kwa kuandika jambo la kipumbav.
Yaa ugonjwa uko naturaly we unadai ni wafanya biashara ndio wanaileta? Are you nuts?
Kwa mwingiliano tulionao baina ya raia wa nje.. ambao inchi zao zina maambukizi makubwa.. tunajuaje kuwa wao hawana? Hao ndio transmission points.
 
Mleta mada ahsante sana. Hii kitu ipo aisee...Madaktari wanakuandikia Pneumonia au ARDS/ C19.
Tangu tarehe 26 /12/2020 - 6/01/2021 nilikua Hospital aisee na dada yangu. Ila inawezekana mimi ndiyo nilimuambukiza. MUNGU mwema tulipata huduma na kutoka hospitali ila watu walikua wanadondoka jamani.
Serikali isione aibu katika hili.
Ione aibu kufanyaje jomba labda, ije iwazuie wananchi kudondoka
 
Back
Top Bottom