CORRONA SIO HATARI ILA HATARI NI JINSI UTAKAVYOPOKEA KULINGANA NA MATANGAZO YA MAGHARIBI. HATA HIV/AIDS ILIANZA KISANII HIVIHIVI LEO WANAINGIZA PESA BILA JASHO. MALENGO NI KUUZA VIFAA TIBA NA CHANJO ILI DUNIA IBALANCE KIBIASHARA. ASIYEELEWA AULIZE SWALI.Tuletee jani hilo tulijue wote hii ni vita mula
Piga picha tulione utasaidia wengi
Ongeza na konyagi hapo au Gordon's
Sure.Kama mafua yanatiririka kama maji sio Covid. Kunywa maji ya kutosha, machungwa, limao na dawa za mafua utapona
Tatizo wazalendo mpaka wamuone MboeNdio tatizo la wabongo mpaka mutanfaziwe ndio muchukue tahadhari. Wewe ni mtu mzima una akili timamu why usubiri utangaziwe! Akili zingine bwana!
Acheni propaganda za wazungu hakuna corona duniani ,hayo ni mafua tu yataisha.Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay...
Mkuu unajua incubation period ya covid 19Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay..
Mkuu chemsha tangawizi kwa Fujo unywe Mara kwa Mara.Sio siri kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaumwa kweli hatukufahamu kama ni Covid-19...Alikuwa na mafua makali sema alikuwa anakuja kazini kama kawaida na sasa hivi yupo okay..
Man nikupongeze kwa kuandika jambo la kipumbav.Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Unahujumu uchumi upi kwa kuvaa barakoaUkivaa barakoa hadharani utashitakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi
Ione aibu kufanyaje jomba labda, ije iwazuie wananchi kudondokaMleta mada ahsante sana. Hii kitu ipo aisee...Madaktari wanakuandikia Pneumonia au ARDS/ C19.
Tangu tarehe 26 /12/2020 - 6/01/2021 nilikua Hospital aisee na dada yangu. Ila inawezekana mimi ndiyo nilimuambukiza. MUNGU mwema tulipata huduma na kutoka hospitali ila watu walikua wanadondoka jamani.
Serikali isione aibu katika hili.