Serikali imesemaje kwani?Pole na majukumu najua walio wengi mpo kwenye daladala au usafiri binafsi mkielekea nyumbani kwenu. Bila kupoteza mda ngoja niende mojakwamoja kwenye kwenye topic...
Hafi mtu achaneni na propaganda za wazungu Tz iko salama.
Serikali imesemaje kwani?
Maana hata serikali yenyewe haieleweki...
Yeye hana chanjo?
Kugombea unangoja nn!??? Kichwa kimekujaa Narcotic sJiwe Hana karama ya uongozi.
Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...Naam!
Assalamu alaikum.
Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.
Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Magufuli anajeuri na kiburi sababu anawajua watanzania jinsi walivyo. Watanzania ni vilaza.Naam!
Assalamu alaikum.
Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.
Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Tumieni akili wakati mkiandikaNaam!
Assalamu alaikum.
Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.
Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Naam!

Tumieni akili wakati mkijibu hoja.Tumieni akili wakati mkiandika
Katiba ya mwaka 77 Ni dhaifu sanaNaam!
Assalamu alaikum.
Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.
Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...
Na hiyo inasababishwa na wananchiWapiga kura hawana tofauti sana, ila kwa huku kwetu rais ndio anayeamua nani awe rais, na nani atangazwe kuwa kiongozi. Yaani tathmini ya ubora wa kiongozi huku kwetu haipimwi na wananchi, bali kundi hilo hilo la viongozi ndio linalojifanyia tathmini lenyewe!
Na hiyo inasababishwa na wananchi