#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Pole na majukumu najua walio wengi mpo kwenye daladala au usafiri binafsi mkielekea nyumbani kwenu. Bila kupoteza mda ngoja niende mojakwamoja kwenye kwenye topic...
Serikali imesemaje kwani?

Maana hata serikali yenyewe haieleweki.

Mara hakuna Corona, mara jifukizeni.

Mara maombi yamezuia Corona, mara waziri wa fedha anawaambia watu wajihadhari na Corona.

Wewe unaielewa hii serikali?
 
Serikali imesemaje kwani?

Maana hata serikali yenyewe haieleweki...

Anakuambia chanjo pia hazifai 😁 tuendelee kujifkiza.

20210127_235708.jpg
 
Naam!

Assalamu alaikum.

Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.

Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
 
Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...
 
Magufuli anajeuri na kiburi sababu anawajua watanzania jinsi walivyo. Watanzania ni vilaza.
 
Naam!
Assalamu alaikum.

Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.

Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Tumieni akili wakati mkiandika
 
Naam!
Assalamu alaikum.

Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.

Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
 
Moderators ungamisheni huu uzi na ule maana hakuna jipya hapa
Naam!
Assalamu alaikum.

Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.

Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
 
Naam!
Assalamu alaikum.

Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.

Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Katiba ya mwaka 77 Ni dhaifu sana
 
Trump hakupendwa na wamerekani Magufuli ni kipenzi cha ummah wa Watanzania kwa sababu nchi ameitengeneza na sasa tupo Uchumi wa kati
Shule bure
Huduma za afya kabisa
Hospital na zahanati kila kona
Tunataka katiba ibadilishwe ili aendelee kutawala
Kila mtu anafurahia maisha kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam isipokua wapiga dili poleni lazima mumchukie na muumie sana maana mianya ya imeziba kabisa
 
Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...

Wapiga kura hawana tofauti sana, ila kwa huku kwetu rais ndio anayeamua nani awe rais, na nani atangazwe kuwa kiongozi. Yaani tathmini ya ubora wa kiongozi huku kwetu haipimwi na wananchi, bali kundi hilo hilo la viongozi ndio linalojifanyia tathmini lenyewe!
 
Na hiyo inasababishwa na wananchi
 
Na hiyo inasababishwa na wananchi

Wananchi wa nchi hii wameaminishwa kudai mabadiliko ni kutaka kuharibu amani ya nchi, na pindi wanapodai mabadiliko kwa njia ya amani hukutana na vifo, vifungo ama hata hujuma kwenye shughuli zao za kuwaingizia vipato.
 
Back
Top Bottom