Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Serikali imesemaje kwani?Pole na majukumu najua walio wengi mpo kwenye daladala au usafiri binafsi mkielekea nyumbani kwenu. Bila kupoteza mda ngoja niende mojakwamoja kwenye kwenye topic...
Maana hata serikali yenyewe haieleweki.
Mara hakuna Corona, mara jifukizeni.
Mara maombi yamezuia Corona, mara waziri wa fedha anawaambia watu wajihadhari na Corona.
Wewe unaielewa hii serikali?