Huyu dikteta tujipange tumwondoe anaharibu sana.Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.

Ogopa sana hadi na wao wamelazimishwa kupewa tausi ili kuwapeleka chattle isilete maneno 😂Na Jamaa kawaweza, kahakikisha sahani zao zimejaa vya kutosha washibe watulie.
Kwa hiyo wanatuangalia tu huku wanaimba kimoyomoyo "kila Mtu atabeba....mzigo wake mwenyewe"
Na Wanafamilia wanaangaliwa vema.....mwingine Mama na Mtoto wapo Mjengoni, mwingine Kijana kashika hatamu kule Kisiwani...basi ni raha mustarehe watafute tena matatizo ya nini?Wanajengewa mahekalu ufukweni mwa bahari unategemea waseme nini?
😂😂😂😂 Kule Kisiwani wadogo zake kaka watatu ni wabunge.Na Wanafamilia wanaangaliwa vema.....mwingine Mama na Mtoto wapo Mjengoni, mwingine Kijana kashika hatamu kule Kisiwani...basi ni raha mustarehe watafute tena matatizo ya nini?
Unategemea Mwinyi aseme nini?Tuna janga la udikteta lkn wazee wamekaa kimyaaa!
Huyu mzee Mwinyi ndo kama karogwa kabisaUnategemea Mwinyi aseme nini?
Na Jamaa kawaweza, kahakikisha sahani zao zimejaa vya kutosha washibe watulie.
Kwa hiyo wanatuangalia tu huku wanaimba kimoyomoyo "kila Mtu atabeba....mzigo wake mwenyewe"
Mzee Ruksa hata hajielewi sasa hivi, Mkwele naye kama kaamua kumpotezea tu ngosha! Mamvi na yule wa Hanang tangu watoke na kurudi ccm wamekosa kujiamini kabisa! Na lijamaa lilisha waambia waache vihere here! Nchi imekuwa ya mtu mmoja hii!Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri