#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.

Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Huyu dikteta tujipange tumwondoe anaharibu sana.
 
Wewe binafsi mbona hujatoa ushauri wowote?
Tunadanganywaje? Fafanua.
 
Pumbavu Sana mleta mada....unaishi kwa uvumi, maisha yako ni hasara kwa familia na taifa kwa ujumla!
 
Kama una siri na serikali zinaficha siri zako, huwezi kuongea. Warusi na watu wa KGB wanaita hii kitu "kompromat". Serikali zikiwa na kompromat za kiongozi au mfanyabiashara hawezi kufurukuta tena. Itabidi anyamaze tuu aendelee na maisha yake. Ndiyo maana viongozi wanatakiwa wafanyiwe vetting maana kama wana siri, watakuwa compromised.
 
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.

Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Mzee Ruksa hata hajielewi sasa hivi, Mkwele naye kama kaamua kumpotezea tu ngosha! Mamvi na yule wa Hanang tangu watoke na kurudi ccm wamekosa kujiamini kabisa! Na lijamaa lilisha waambia waache vihere here! Nchi imekuwa ya mtu mmoja hii!
 
Wazee wetu wanasataafu lakini wanakuwa ombaomba kwa watawala kwa kazi za watoto zao na hata wake zao! Hivyo ni washauri wa kinafiki. Mkapa alikuwa hata haya kwa sababu hizi.

Ushauri ni wazee kuongea na kusema ukweli. Mawaziri wastaafu, ma spika, wafanyabiashara..... . Tusiachie viongozi wa dini wachache pekee
 
Uyo alikuwa na dharau na alitutukana kuwa sisi ni marofa, kama pengo ilo ndio linakusumbua tangulia naye.

Au muhache yeye na kiburi, umwamba na dharau zake apambane na adhabu kali zaidi ya kaburi, lzm anyooshwe
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.

Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
 
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri

Hao wazee unaosema watoe ushauri ni wakina nani? Wazee ambao walikuwa wafuasi wa mwalimu karibuni wote wamepukutika ndio hao marehemu Kaduma, Brigedia Hashim Mbita to mention a few; waliobakia kama Mzee Mwinyi na Jakaya Kikwete hawana moral authority ya kumkosoa Jiwe kwasababu wame kuwa compromised!!! Mzee Mwinyi ndio huyo zaidi ya mwanae kupewa URAIS Zanzibar, amejengewa Nyumba nyingine baharini ingawa hakutimiza viigezo vya sheria kustahili kujengewa nyumba [ Licha ya Mzee huyo kuwa na nyumba zake mwenyewe hapo DAR,Dodoma na Zanzibar!!!]. Jakaya Kikwete nae kazibwa mdomo kwa kujengewa nyumba huko ufukweni ili hali ana nyumba migombani aliyouziwa na Jiwe alipokuwa waziri wake , na kwa Nyeree hapo DAR. Kumbuka pia kuwa ana kijiji alichojenga makasili yake huko kwao Msoga alipokuwa madarakani!!!

Kwa sababu hizo ndio maana sioni mtu kwa wakati huu mwenye ubavu wa kuweza kukirudisha Chama Cha mapinduzi katika mstari wake wa enzi ya mwalimu ambapo maendeleo yalikuwa ni ya watu na sio vitu; rushwa ilikuwa adui wa haki!!! Chama Cha siasa cha Nyerere kimetekwa na wanafiki wanaotumia jina lake huku wakifanikisha ajenda zao!!!
 
Back
Top Bottom