Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana