Tatizo tumemuamini Mtanzania mmoja na kumuona ana Akili kuliko wengine wote....Kweli mdau...covid 19 ipo..ila kuna watu wanajitoa ufahamu humu....kwamba hakuna...mpaka jamaa zao wafariki ndio wataamini hii kitu ipo.
Watu tuko tofauti sana unaweza kuwa umepata lakini usiumwe kabisa wala kuhisi na hao ni wengi sana na uhakika watu wakienda kupima wengi watakutwa na antibodies kuashiria wamepata na wamepoma bila kujuwa. Kukujibu yes, watu hawafanani wako inawachukuwa vibaya na wako ndio wengi wanapata bila kujuwa. Muhimu ni kuwa makini maana hatujui kesho yetu au ya ndugu zetu.Wakuu me mbona nashinda kariakoo daily na sipati corona?? Au askari wenu wapo weak?? Kuna watu wanaumwa mafua wanasema corona[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,
Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona
Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Pole sana mkuuMzee amefariki kwa kovid leo.....tunamsika saa 10.....alifikia hatua ya kukohoa damu nyeusi na alikuwa hawezi kupumua,huku mapafu yakikaza sana,tuwashauri wazee wetu wenye umri 70+ wakae home tu kama hakuna umuhimu wa kutoka
Asilimia kubwa wenye umri mkubwa ndiyo wameathirika.....kariakoo ipo vizuri tu,mtaa niliopo kuna mtu amepoteza baba yake,baba mdogo na baba mkubwa last week,aliugua mmojaWakuu me mbona nashinda kariakoo daily na sipati corona?? Au askari wenu wapo weak?? Kuna watu wanaumwa mafua wanasema corona[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Asante,Ndiyo ivyo no way,ni kuchukua tahadhali tu,acha akapumzike......Pole sana mkuu
Mazuzu kama wewe mjiandaeKwahiyo. Unataka nini!?
Naona unaibeep,ikukupigia usiaanze kuliaWakuu me mbona nashinda kariakoo daily na sipati corona?? Au askari wenu wapo weak?? Kuna watu wanaumwa mafua wanasema corona[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sawa pia Maoni ya mtu mmoja Magufuli hayaondoi haki yangu ya msingi ya kupata chanjoNakubaliana na Askofu Bagonza kwamba maisha ni mali ya mtu binafsi. Jukumu la kwanza la kila mtu kuhusu kuchunga usalama wa afya na uhai wake ni lake mwenyewe na kamwe hawajibiki kufuata amri, ushauri, maelekezo au fikra za mtu mwingine wakati anaona kwa kufanya hivyo anahatarisha maisha yake. Tuchukue tahadhari
Unadhani hivyo vifo vya kufuatana hivyo havikuwepo before corona? binafsi mwaka juzi nimefiwa na watu wangu wa karibu ndani ya wiki moja na wote walikuwa wanaishi eneo moja ilikuwa mshangao kwa majirani ingekuwa kipindi basi bila ya shaka hivyo vifo vingehusishwa na corona.Asilimia kubwa wenye umri mkubwa ndiyo wameathirika.....kariakoo ipo vizuri tu,mtaa niliopo kuna mtu amepoteza baba yake,baba mdogo na baba mkubwa last week,aliugua mmoja
........wakaenda kumjulia hali bila tahadhari,wameachiana siku 3 tu....kuna bank siitaji amekufa mmoja watatu wapo mahututi akiwepo collegemate wangu mmoja.....
Upo sahihi kabisa mkuuSawa pia Maoni ya mtu mmoja Magufuli hayaondoi haki yangu ya msingi ya kupata chanjo
Wewe ni msemaji wa hizo familia au mna hisia ni corona? Weka ushahidi wako hapa kama wamefari kwa covid-19 wa vyeti vya vifo vyao.Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,
Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona mi familia ya Mr Gaudence, na nyingine ya Mzee John Chillo,
Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Naona Melo na Mods wakitaka kuufuta Uzi huu plz msiufute Corona ipo watu wawe aware
Watu tuko tofauti sana unaweza kuwa umepata lakini usiumwe kabisa wala kuhisi na hao ni wengi sana na uhakika watu wakienda kupima wengi watakutwa na antibodies kuashiria wamepata na wamepoma bila kujuwa. Kukujibu yes, watu hawafanani wako inawachukuwa vibaya na wako ndio wengi wanapata bila kujuwa. Muhimu ni kuwa makini maana hatujui kesho yetu au ya ndugu zetu.