Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Tatizo tumemuamini Mtanzania mmoja na kumuona ana Akili kuliko wengine wote....Kweli mdau...covid 19 ipo..ila kuna watu wanajitoa ufahamu humu....kwamba hakuna...mpaka jamaa zao wafariki ndio wataamini hii kitu ipo.
Tumemfanya yeye kuwa mungu-mtu na kuwasemea watanzania wengine wote na sisi tunamuamini....
Yeye naye ameota pembe na kuwa na kiburi na dharau zaidi ya Herode!
Iko Siku tutaja kumbuka shuka kumekucha...