Maisha ya mtu yako mikononi mwake kwa jinsi ileile anavyojitawaza msalani pasipo kusimamiwa.

Usisubiri AMRI, chukua hatua kulinda maisha yako km kuvaa barakoa, kujitakasa mikono, kuepuka misongamano ya watu, na hasa kwenye maeneo ya jumuia km vyoo vya jumuia usiache kuvaa barakoa

Kumbuka kila binadamu huenda ameambukizwa
 
Wana roho mbaya sana hawa estou!

Sasa watu wengi hiyo SGR yao atapanda nani?
Jana niliposikia yuko Morogoro nilitegemea amefika kufungua reli ya SGR ya treni za kisasa za umeme iliyokuwa ifunguliwe mwaka 2019 kumbe anafungua Soko la mamantilie na machinga. Ameishiwa na cha kufanya, angejikalia Chato akijifukiza!
 


Ninaepuka vipi misongamano masokoni, magulioni, kwenye ma ferry, mabasi nk ninapolazimika kwenda kutafuta si riziki yangu tu bali na mzigo zaidi wa kulipa kodi za serikali zinazoongezwa mfululizo kana kwamba hatuna janga lolote baina yetu?

Huoni kuwa mfano wako wa kuchamba kwako kwa hakika hapa si mahala pake kabisa?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwani walioiba kura wana mapafu dhaifu na kinga laini kuliko walioibiwa kura?

Ni akina nani waliiba hizo kura?

Kuiba kura kunasababisha Corona?

Kura ziliibiwaje wakati kulikuwa na walinzi wa Serikali na vyama vya siasa vilikuwa na mawakala?

Kura ziliibiwa zikapelekwa wapi?

Kura ni ile karatasi yenye picha za wagombea au ni idadi ya alama ya v kwenye zile karatasi?
 
Huyu alikuwa akiwaombea na kufurahia vifo vya wenzie kama wewe!
 
Mbona wewe unayo, je uliiba kura? Na wote tumuombee rosemarie apone haraka baada ya kutubu CCM
 
[emoji848][emoji848][emoji848] Kwa hiyo wewe umechukua nafasi ya Mungu yaani unatoa hukumu. Kwani wewe na hao unaowatuhumu kuiba kura mna tofauti gani? Au wewe huwezi kufa na hiyo Corona?
 
itaanza nawewe, kwanza kwa jina la Yesu Kristo aliye juu, kisha hao wengine itawaacha.
 
Do you think God is contract killer?? And death only comes to the wicked and spare the innocence one?? Nah.
Death is certain my dear kaa vyema usije ukapitiwa wewe
Okay, to make things correct. ........spare the innocent one....not innocence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…