Watu wanawaamini wanasiasa kuliko hata wanavyojiamini wenyewe na roho zao, wabongo hatuwezi acha uchiinga, labda 'uchiinga' utuhurumie utuache..!
 
Kwenye kumswalia maalim naona barakoa zimevaliwa kama kawa! Taratibu akili inarudi.
 
Bado na zidi kukazia maana nilitoa uzi ukafutwa ili kufurahisha au kuficha kama viongozi wengine kuwa ugonjwa hakuna.

Mambo mengine kama ijakugusa kuondokewa na ndugu,rafiki na jamaa.JF mnatabia ya kuficha ukweli sasa maana tukisema ukweli hata kwa tafsida bado mtafuta .hii ni sehemu ya kutoa ya moyoni.

Je, serikali ikikubali kuwa hili janga sio la maombi ni kuchukua tahadhari na vitu gani kutusaidia ili kupunguza idadi kwa wanao faliki na hili gonjwa.

Kama mtafuta basi mifano mizuri inawala mpaka viongozi wa serekali na mkifuta itaondoka na mfanyakazi wa jf.

Ukweli ni mzuri
 
Tunasubiri nyungu version 4.5 kutoka kwa muheshimiwa jafo , huku tukiendelea kumuomba mungu atuepushe
Hivi nyumba yako ikivuja utangoja balozi wa nyumba 10 aje akwambie ziba? Nyungu mbona imeshatangazwa mkuu?
 
Maombi bila hatua ni ujinga mkubwa tu. Kawahug wenye korona afu ukaombe uone kama Mungu atakusikia
 
Mungu aliwaumba na maarifa mjikinge..mnamchosha tu kwa upuuzi huu, kuendekeza unafiki.
 
Kwani kutoa tamko shi ngapi?
 
Kwanza viongozi wakubali ipo hatuwezi ili tuoneshe utiifu kwa Mungu
Kama ulishatangaziwa Nyungu na Jafo na Mzee mara kibao wanasema tahadhari zichukuliwe au ulitaka nn zaidi au formal Ann ouncement? Nadhani picha ya formal umeiona clear siku mbili tatu hizi asikiaye na afahamu.
 
Kama ulishatangaziwa Nyungu na Jafo na Mzee mara kibao wanasema tahadhari zichukuliwe au ulitaka nn zaidi au formal Ann ouncement? Nadhani picha ya formal umeiona clear siku mbili tatu hizi asikiaye na afahamu.
Atujakataa ila ata kipindi kile imepamba moto watu walikua bado hawataki kuvaa barakoa😷
 
Tulishaomba. Huku ni kumsumbua Mungu. Huu ni wakati wa kushukuru na kumsifu.

Jifunze kwa Yehoshafat
 
Sidhani kama hayo maombi yako yatafua dafu safari hii!! Maana kasi ya hawa wadudu safari hii inaogopesha. Hadi msimu wa kiangazi uanze, tutakuwa tumepoteana kweli kweli.
 
N
Ndiyo maana nikamuomba Mungu atupe njia ya nn cha kufanya na kumpa hekima kiongozi wetu tufanye nn. Mimi naomba Nyungu napiga na barakoa nimeanza kuzingatia sikusema tuombe tu Mungu tusichukue tahadhari.
 
Hata pensioner Museveni aliliona hili
 
N

Ndiyo maana nikamuomba Mungu atupe njia ya nn cha kufanya na kumpa hekima kiongozi wetu tufanye nn...Mimi naomba Nyungu napiga na barakoa nimeanza kuzingatia sikusema tuombe tu Mungu tusichukue tahadhari...
Kiongozi wako jana alisali kanisa gani kwenye ibada ya Jumatano ya Majivu? Tuanzie hapa kwanza. Mimi niikuwa mbali na luninga.
 
Nitawalaumu waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari maana wameshindwa elimisha jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…