Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Watu wanawaamini wanasiasa kuliko hata wanavyojiamini wenyewe na roho zao, wabongo hatuwezi acha uchiinga, labda 'uchiinga' utuhurumie utuache..!UMeongea vizuri,watu wanasubiri tangazo kuna corona
They don't take any precautions.
Tumeambiwa tunawe na maji tiririka, tuvae barakoa,tutumie sanitizer, tukeep distance
Bado tunasubiri tangazo kuna nchi INA corona, this is ignorance of the highest caliber