Mungu hasikilizi wezi, watenda dhambi na wahalifu. Kwa kifupi mnakesha bureNdio tunatoka kwenye mkesha wa maombi na sasa tunakazia maombi kwa kufunga
"...wakionekana kama watu wanaomwogopa Mungu lakini wakizikana nguvu zake;a nawe jiepushe nao." 2 Timotheo 3:5
Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?Mungu hasikilizi wezi, watenda dhambi na wahalifu. Kwa kifupi mnakesha bure
Matendo ya serikali ya Tanzania yanadhirisha kuwa Mungu hawezi kuwasikiliza hata mlie machozi ya damu na kukesha 24/7 mnapoteza muda wenu.Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?
Yakobo 4:12
Hizo kinga mnazikataa kwa ujinga tu, kwani hizo chanjo za tetnas na cholera zilivumbuliwa chuo kikuu pale dar es salaam? hizo za watoto unazosema ni 100% zilitoka dodoma university?., ni vyema mgetoa jibu la kwamba zile chanjo mnazipokea lakini wataalamu wenu watachunguza kwa muda mfupi ndio zitumike kuliko kukataa kabisa kabisa wakati kuna watu wana interest ya kuchoma hizo chanjo. Mnaongoza nchi kama familia ya baba na mama na watoto tu. Si kila siku mnajidai mnatoa madaktari bingwa na bora na maprofesa kwanini hamkugundua ya kwenu? watu wanaumia?Mimi nakwambia si kinga ,hizo za kuzaliwa watoto zote zina asilimia miamoja na zimethibitishwa,hii inakigugumizi tokea huko WHO,mara hii utasikia inaasilimia 78 ya china asilimia 90 kuna mpya ya Russia asilimia 98 kuna nyingi dose moja tu,wanababaika hawajui ipi ni bora na unapoambiwa haijafikisha asilimia mia moja ,ujue ya kuwa lolote laweza kutokea huko twendako,kuna watu baada ya kudungwa wanasema wamepoteza nguvu za kiume !!!
Uhakika ni tangawizi karafuu na limau na zipo nyingi tu,udi lkaraha na asali imethibitika na ndio watu wengi wanasafiria hio.
Jingine hata ukidungwa hio mnayoita sijui kinga bado uhakika wa kutoikanyaga corona haupo.
Kuna njemba imeuliza kinga ni nini nielewavyo ikiwa kinga inafanya kazi kwa asilimia miamoja basi gonjwa la kinga hio haliwezi kukupata,na tetenas ina muda ,ndio kama uliwahi kudungwa hospitali hukujaribu kwa kukudunga kiduchu tu tena kiduchu sana,kuangalia reaction .
But you can make it delay😂😂😂Ni vitu vya kawaida... Death cant be escaped
It about God purposesBut you can make it delay😂😂😂
Nani amekuambia?But you can make it delay[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa yetu Mwigulu Nchemba alishapiga marufuku wazalendo kuendelea kutoa hizo taarifa za misiba. Anataka mambo yaende kimya kimya!!Habari za Jioni wapendwa katika bwana.
Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.
tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?
Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.
Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
It about God purposes
Sio kama we dont care mambo ni mabaya yametufika shingoni, tunasubiria tu kudanjaHali ni mbaya but pipo jus don Care
I guessKwani mada imeandikwa kwa Lugha ya Kiingereza?
Mtaani kwangu hakuna kifo ila magonjwa ya kawaida kama maralia, tumbo nk bado yapo.
The daktari