#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Ndio tunatoka kwenye mkesha wa maombi na sasa tunakazia maombi kwa kufunga

"...wakionekana kama watu wanaomwogopa Mungu lakini wakizikana nguvu zake;a nawe jiepushe nao." 2 Timotheo 3:5
Mungu hasikilizi wezi, watenda dhambi na wahalifu. Kwa kifupi mnakesha bure
 
Mungu hasikilizi wezi, watenda dhambi na wahalifu. Kwa kifupi mnakesha bure
Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?
Yakobo 4:12
 
Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?
Yakobo 4:12
Matendo ya serikali ya Tanzania yanadhirisha kuwa Mungu hawezi kuwasikiliza hata mlie machozi ya damu na kukesha 24/7 mnapoteza muda wenu.

Maneno ya faraja hayata badili mambo bila kwanza kufanya toba ya kweli kwa kukiri makosa hadharani na kufuata njia ya kweli na haki
 
Jana ninekutana na mwana CCM mmoja, akaanza nyenyenyeeeee, eti mbona kipindupindu tumaisgi nacho miaka mingi, ukimwi, kisukari, etc..


Cha kwanza nikwambia kama kungekua na mashine ya kuosha ubongo ningempeleka kwa gharama yeyote.


Covid sio ya kuishi nayo.

Covid haitoi nafasi ya maelezo

Covid haina majadiliano

Covid haina dawa

Covid hata uwe na pesa inakubeba

Covid ikikupata unakufa

Kwa hiyo hawa wanaosema sijui tutaishi na covid haijawapata.

Covid ni zaidi ta ukimwi na kisukari

Serikali afanye bidii kuhamasisha wanachi kuchukua tahadhari hadi ifike mahali life style zibadilike na kiwe kitu cha kawaida.
IMG_20210218_134104.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20210220_005903.jpeg
    IMG_20210220_005903.jpeg
    27.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1613733960325.jpeg
    FB_IMG_1613733960325.jpeg
    68.8 KB · Views: 2
Mimi nakwambia si kinga ,hizo za kuzaliwa watoto zote zina asilimia miamoja na zimethibitishwa,hii inakigugumizi tokea huko WHO,mara hii utasikia inaasilimia 78 ya china asilimia 90 kuna mpya ya Russia asilimia 98 kuna nyingi dose moja tu,wanababaika hawajui ipi ni bora na unapoambiwa haijafikisha asilimia mia moja ,ujue ya kuwa lolote laweza kutokea huko twendako,kuna watu baada ya kudungwa wanasema wamepoteza nguvu za kiume !!!
Uhakika ni tangawizi karafuu na limau na zipo nyingi tu,udi lkaraha na asali imethibitika na ndio watu wengi wanasafiria hio.

Jingine hata ukidungwa hio mnayoita sijui kinga bado uhakika wa kutoikanyaga corona haupo.
Kuna njemba imeuliza kinga ni nini nielewavyo ikiwa kinga inafanya kazi kwa asilimia miamoja basi gonjwa la kinga hio haliwezi kukupata,na tetenas ina muda ,ndio kama uliwahi kudungwa hospitali hukujaribu kwa kukudunga kiduchu tu tena kiduchu sana,kuangalia reaction .
Hizo kinga mnazikataa kwa ujinga tu, kwani hizo chanjo za tetnas na cholera zilivumbuliwa chuo kikuu pale dar es salaam? hizo za watoto unazosema ni 100% zilitoka dodoma university?., ni vyema mgetoa jibu la kwamba zile chanjo mnazipokea lakini wataalamu wenu watachunguza kwa muda mfupi ndio zitumike kuliko kukataa kabisa kabisa wakati kuna watu wana interest ya kuchoma hizo chanjo. Mnaongoza nchi kama familia ya baba na mama na watoto tu. Si kila siku mnajidai mnatoa madaktari bingwa na bora na maprofesa kwanini hamkugundua ya kwenu? watu wanaumia?

Tanzania kuna wazee kibao wasiojiweza ambao ni aged na wataalam wansema kuwa ule ugongwa ndio ni hatari zaidi kwao na wao wanaagalia hali zao kiafya tu tena kama walivyoanza Kenya wameanza na idadi ndogo ya watu kuanzia umri wa above 50 na kuendelea.

Sasa kama karafuu sijui tangawizi na asali kwanini munavaa vibarakoa na ulishatoka Kubugia tangawizi na kupiga nyungu., juzi nimemuona JK kapiga barakoa pale msikitini na mikono yake hataki kumpa mtu ameifunga kwa pamoja.
 
Habari za Jioni wapendwa katika bwana.

Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.

tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?

Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.

Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
 
Habari za Jioni wapendwa katika bwana.

Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.

tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?

Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.

Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
Huyu jamaa yetu Mwigulu Nchemba alishapiga marufuku wazalendo kuendelea kutoa hizo taarifa za misiba. Anataka mambo yaende kimya kimya!!
 
Mtaani kwangu hakuna kifo ila magonjwa ya kawaida kama maralia, tumbo nk bado yapo.
The daktari
 
Mtaani kwangu hakuna kifo ila magonjwa ya kawaida kama maralia, tumbo nk bado yapo.
The daktari

Ni kweli kabisa hata mimi mtaani kwangu hali ni vile vile tu wagonjwa ni wakawaida tu hivi sisi watanzania ni lini tutaacha kutishana alafu nyuzi kama hizi ndio huwa zinaleta hofu kwenye jamii unakuta mtu unavidalili vya homa tu lkn kwasababu ya hofu basi unaanza kuwaza ni corona hivi maradhi mengine hakuna?
 
Back
Top Bottom