Mimi nakwambia si kinga ,hizo za kuzaliwa watoto zote zina asilimia miamoja na zimethibitishwa,hii inakigugumizi tokea huko WHO,mara hii utasikia inaasilimia 78 ya china asilimia 90 kuna mpya ya Russia asilimia 98 kuna nyingi dose moja tu,wanababaika hawajui ipi ni bora na unapoambiwa haijafikisha asilimia mia moja ,ujue ya kuwa lolote laweza kutokea huko twendako,kuna watu baada ya kudungwa wanasema wamepoteza nguvu za kiume !!!
Uhakika ni tangawizi karafuu na limau na zipo nyingi tu,udi lkaraha na asali imethibitika na ndio watu wengi wanasafiria hio.
Jingine hata ukidungwa hio mnayoita sijui kinga bado uhakika wa kutoikanyaga corona haupo.
Kuna njemba imeuliza kinga ni nini nielewavyo ikiwa kinga inafanya kazi kwa asilimia miamoja basi gonjwa la kinga hio haliwezi kukupata,na tetenas ina muda ,ndio kama uliwahi kudungwa hospitali hukujaribu kwa kukudunga kiduchu tu tena kiduchu sana,kuangalia reaction .