#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Awareness kama tunayo inatosha ss kujikinga wenyewe. Serikali haijakataza raia kujikinga na covid.

Wakati mwingine ni bora kuwe hivi, Kwann tunataka panic irudi tena? Watu waanze kufa tena? Manesi wetu wanajulikana, wakishapanic nani atatoa huduma kwa wenye pumu, kifua kikuu, nimonia, n.k? Yaani serikali ikitangaza corona ipo tegemea matatizo zaidi ya mafanikio.
Kwa hali ilivyokuwa kipindi cha corona mi naona Kila mtu ajikinge, na kusali bila kusubiri tamko la serikali.
Waanze kufa mara ngapi?
 
Hakuna ubishi mwaka jana Mungu alitulinda kwa uwezo wake tukapata ushindi dhidi ya mafua yanayokaba.

Lakini hii yote ilitokana na kuwa wakweli. Maana tulikubali ukweli hasa baada ya ambukizo la kwanza tokea Ubelgiji.

Hata vifo vya kwanza kutokana na mafua ya kubana viliwekwa hadharani. Na tahadhari zilifuatwa kisayansi na kimakini.

Mipakani watu walipimwa joto na wenye dalili walitengwa, Isolation ilifanyika kwa waliokutwa positive kisha kutibiwa na contact tracing ilifanyika kujua kama walikutana na watu gani.

Barakoa zilivaliwa kila kwenye mrudindikano wa watu na social distancing ilifanyika kwa umakini.

Kwa hiyo ili kushinda hii vita lazima tuwe wa kweli kuwa sasa mafua yanyokaba yapo. Zile hatua tulizochukua mwaka jana tuzichukue upya tena kwa nguvu zaidi. Maana haya ya mwaka huu yamekuja na nguvu zaidi.

Ukweli ni kuwa kukaa na blenda hadharani na kuanza kukoroga pilipili,tangawizi na vitnguu swaumu kama kuna show ya mapishi ni failure tayari. Maana mafua ya mwaka sio ya kuletea show za mapishi kisha kujifukiza hadharani.

Kama taifa hatujachelewa tuanze kuchukukua hatua dhidhi ya mafua yanayokaba. Tusisubiri vifo ndio tuanze talalila.
 
“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad SAW.

Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada!Kupiga maombi wakati hakuna mipango pamoja na vitendo(Actions) madhubuti vya kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.
 
President Joe Biden is expected to announce Friday that the U.S. will spend $4 billion on international Covid vaccination efforts, White House officials said.

Tunashidwa kunawa, kuvaa barakoa! Yaani hatufanyi lolote ni ubishi na kusubiri huruma na watu kufa. Mungu katupa akili tuitumie
 
Akili yako ilivyo fupi hata hujui unataka nini. Umesema serikali itangaze level seat. Halafu unasema siyo kila mtu anapandia mwanzo wa safari. Sasa serikali ikitangaza level seat hao wanaopandia njiani watapandaje? Tatizo mnawaza siasa hadi mnakosa akili
Kwani Mwaka Jana walikuwa wanapandia wapi? Au ulikuwa Bado hujaingia mjini,?
 
Siko radhi tena kupoteza mzazi wangu mmoja niliebaki nae duniani. Rais Kama wewe hutaki chanjo tafadhari tuletee sisi kwa ajili ya wazee wetu .

Jamani mbona viongozi hamuonyeshi kujali uhai wetu?

Mungu unayesema tumtegemee nae anatuuliza mnataka niwafanyie nn kila kitu mnachoambiwa mnakipinga ?

Yaani unatuaminisha dunia yote inataka sisi ndo tuangamizwe na Corona kwa lipi tulilonalo ?

Dunia nzima inatuonea huruma, na kwa bahati mbaya viongozi wetu pia wametutoa sadaka kwa msimamo wa mtu mmoja!!!

Hii haikubariki ....Rais onyesha kujali maisha yetu . Fanya kazi ya urais kazi za makuhani waachie makuhani
 
Upepo wa Corona umeshapita. Wiki tatu zilizopita ndio ilikuw peak. Huoni sasa hivi hata humu TANZIA zimepungua?
 
Baada ya kifo cha Nkurunzizah, rais wa sasa wa Burundi anachukua tahadhari zote kwa raia wake.
Rais wa TZ yeye hajali masuala ya covid, anawaza SGR na stiga gorge tu, na wakati huo huo anapiganiwa akae madarakani milele kabisa. Je, ndiyo itakuwa mwisho wa Taifa la TZ?
Tusubiri tuone.
 
Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?

Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.

Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
 
Nahisi matabibu wetu watumie hizi dawa za kikwetu kutengeneza kama spray ambazo mtu ataweza kupiga pafu.
 
Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.

Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.

Hapa alisema nini?

Tangawizi,karafuu na malimao sio dawa ni viuongo na matunda yanayotumiwa kote duniani,.sio bongo tu.
Chanjo ya Covid SIO tiba ni kukuzuia kupata Corona, kama unayo Covid hata ukichanjwa haitasaidia.
Inaonekana akili zako ni kiduchu sana kwa aina ya maswali yako.
 
Wanachofanya hii serekali iliyoingia madarakani kwa kuiba kura ni kutatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo kitu ambacho ni kupalilia tatizo!
2825585655.jpg
 
Kama hakubaliani na sayansi aanzishe wizara ya maombi, tufundishwe namna ya kutokosea wakati wa kuomba.
 
Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.

Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.

Mnaandika vitu msivyovielewa kiufasaha,
chanjo yoyote unayoijua HAIJAWAHI kutolewa kama TIBA sehemu yoyote duniani.

Muwe mnajisomea kwanza kabla ya kuandika mambo ya kitaalamu.

Pia, siyo wote wanaopelekwa hospitali kwa tatizo husika wakaacha kutumia dawa asili wanafariki. Tutambue kila mgonjwa ana mahitaji tofauti na anafika hospitali akiwa katika hali/stage tofauti. Na kila hospitali ina uwezo tofauti wa kuwasaidia wagojwa wa aina hii.

Kwa kuwa tulichagua random exposure na tunafahamu mfumo wetu wa afya ulivyo, tuvumilie mavuno yake.

Mtasema mbona huko kwingine wamekufa? Vifo vyao havitoi haki ya sisi kufa kizembe.
 
Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.

Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
Nosense., Nani alisema chanjo ni dawa ya corona? Hizi chanjo wataalam wanasema ni kinga sasa kwann usipimwe ukisafiri, kwan watu wangap wamechoma sindano za kinga ya tetnas, cholera nk, na ukichomwa ni msumari unakimbilia hospital kuangalia tetnas kwann hii corona inajengewa maswali?, kama wewe si muumini wa hizi sindano za kinga kwann watoto wakizaliwa kule hospital kuna utaratibu wa kuchomwa hizi sindano za kinga?
 
Back
Top Bottom