Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.
Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.