chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Yes. Miaka ya nyuma ilikuwa tunaita tu mafua makali.
Kila mwezi Desemba wengi hupatwaga na hilo tatizo ila wakati huu hili tatizo limebatizwa jina jipya na hapa ndio kwenye tatizo.
Tatizo nini hasa hiyo miezi?
Oh nimeona umesema mafua, je ni mafua ya kawaida au ya aina gani?
Yes. Miaka ya nyuma ilikuwa tunaita tu mafua makali.
Kila mwezi Desemba wengi hupatwaga na hilo tatizo ila wakati huu hili tatizo limebatizwa jina jipya na hapa ndio kwenye tatizo.
Sana,. Hii hofu itatusumbua.Sasa unajuanini ni kwasababu ya hofu[emoji1787]
Kitu ambacho wa tz hatukitambui ni hivi:-
Kila inapofika mwezi wa Januari mpaka mwezi Aprili Tz huwa kuna ongezeko kubwa la vifo,.
Mi nipo monchwali moja kubwa tu hapa tz nina uhakika na ninachokisema sana sana 2016.
Kwenye lipi???Uongo
Haikuwa mafua ya ndege kweli?Sana,. Hii hofu itatusumbua.
Kama unakumbukumbu vizuri haya mafua yalikuwa yanaambatana na kichwa na homa kali sana sana 2016.
Nakazia sana huu mwaka kwasababu ndio mwaka nilioanza kazi.
Mwezi Januari vizee vingi vilichemsha kupambana na hili tatizo na vikafa.
Nani kakuambia nchini kuna Corona???
Mbona unawalisha maneno ??
Wanapambana je na tatizo ambalo halipo?
Tahadhari ipi? Mbona wao hawavai hata barakoa kwenye mikusanyiko hata ya misiba?Wizara ya afya imesheheni madaktari, Dr Gwajima, Dr Mollel, Prof Mchembe na Prof Makubi wote ni madaktari hivyo katika kadhia ya Corona tuwaamini na tuwape muda watatuvusha.
Prof Makubi ambaye ni mganga mkuu wa serikali alishatuasa tusisubiri matamko bali tuchukue tahadhari.
Maendeleo hayana vyama!
πππππππHaikuwa mafua ya ndege kweli?
Tatizo wabongo ni wanafiki sana.Wife usiku wa kuamkia leo hali ilikua sio hali,mwili ulikua wa moto sio kawaida,na siku mbili zilizopita alikua analalamika mwili wote unamuuma pamoja na kichwa,nilipata mawazo sio ya kawaida moja haikai mbili haikai moyoni namuomba mungu aniepushie kikombe hiki kama ni corona,asubuh nikambeba nikamwambia tunaenda hospitali,kacheck tatizo ni maralia na mkojo ni mchafu,kapatiwa dawa sasa hivi hali ni shwari.
Kwahiyo pmj na corona magonjwa mengine bado yapo.
Muhimu tuchukue tahadhari wakuu
ππ π Kweli kabisa mkuuTatizo wabongo ni wanafiki sana.
Wanavyotudanganya Kama upo nje ya nchi?.
Yaani hawa wanaopiga kelele humu waweza ona wengi wao nilikuwa nao jukwaani tunashangilia Yanga usiku huu.
Jitu utalikuta linapiga mikelele humu corona corona alafu tunabanana nalo kwenye daladala hata halichukui tahadhari.ππ π Kweli kabisa mkuu
Anza kupambana na hofu kwanza,...ukiiweza hofu, huo ugonjwa unakuja na kusepa.... Zizzou kapona, Saddy omane kapona,Habari za Jioni wapendwa katika bwana.
Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.
tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?
Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.
Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?