#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Yes. Miaka ya nyuma ilikuwa tunaita tu mafua makali.
Kila mwezi Desemba wengi hupatwaga na hilo tatizo ila wakati huu hili tatizo limebatizwa jina jipya na hapa ndio kwenye tatizo.

Sasa unajuanini ni kwasababu ya hofu[emoji1787]
 
Hawa sijawahi kuwasikia wakitutangazia uwepo wa ugonjwa wa Korona nchini kama sheria inavyowataka wafanye panapokuwepo na ugonjwa wa mlipuko.

Mara ya mwisho kutangaziwa specific uwepo wa korona nchini ni mwaka jana mwezi march, kisha tukatangaziwa na Rais kuwa ugonjwa umeisha nchini miezi takirban minne baadae.

Sasa baada ya kuutokomeza ugonjwa huo, hatujatangaziwa kurudi tena kwa ugonjwa wowote wa mlipuko zaidi ya kuonyeshwa mfano wa kula ndimu, tangawizi, pilipili kichaa etc

Kwa kutotangaza uwepo wa Covid na kama kweli ipo basi serikali inavunja sheria, kwa sababu sheria inataka magonjwa ya aina hii yatangazwe
 
Sasa unajuanini ni kwasababu ya hofu[emoji1787]
Sana,. Hii hofu itatusumbua.

Kama unakumbukumbu vizuri haya mafua yalikuwa yanaambatana na kichwa na homa kali sana sana 2016.
Nakazia sana huu mwaka kwasababu ndio mwaka nilioanza kazi.

Mwezi Januari vizee vingi vilichemsha kupambana na hili tatizo na vikafa.
 
Kaka, huku wamefunga mipaka
Ila tiketi nilikata nirudi kabla ya pasaka

Ni saa ngapi huko? nipe takwimu
Mwanakulitafuta Mwanakulipata round hii sio ununio daraja la .......?!
 
Uongo
Kitu ambacho wa tz hatukitambui ni hivi:-

Kila inapofika mwezi wa Januari mpaka mwezi Aprili Tz huwa kuna ongezeko kubwa la vifo,.

Mi nipo monchwali moja kubwa tu hapa tz nina uhakika na ninachokisema sana sana 2016.
 
Nani kakuambia nchini kuna Corona???
Mbona unawalisha maneno ??
Wanapambana je na tatizo ambalo halipo?
 
Si kila mchezaji Mzuri anaweza kuwa Kocha Mzuri

Vyeo hivyo vinahitaji skills kubwa ya uongozi na Utawala kuliko skills za Taaluma husika

Dr Hussein Mwinyi anatajwa sana kuimudu Wizara ya Ulinzi japo hata JKT alikataa kwenda kujifunza kupiga Kwata!

Shungu, Kocha wa Zamani wa Yanga ni mmoja wa makocha waliofanikiwa sana japo hakuwahi kucheza mpira
 
Sana,. Hii hofu itatusumbua.

Kama unakumbukumbu vizuri haya mafua yalikuwa yanaambatana na kichwa na homa kali sana sana 2016.
Nakazia sana huu mwaka kwasababu ndio mwaka nilioanza kazi.

Mwezi Januari vizee vingi vilichemsha kupambana na hili tatizo na vikafa.
Haikuwa mafua ya ndege kweli?
 
Nani kakuambia nchini kuna Corona???
Mbona unawalisha maneno ??
Wanapambana je na tatizo ambalo halipo?

Tuliambiwa corona ipo, hukusikia?

Chukua tahadhari, Kula vizuri, muombe Mungu sana
🙏
 
Wizara ya afya imesheheni madaktari, Dr Gwajima, Dr Mollel, Prof Mchembe na Prof Makubi wote ni madaktari hivyo katika kadhia ya Corona tuwaamini na tuwape muda watatuvusha.

Prof Makubi ambaye ni mganga mkuu wa serikali alishatuasa tusisubiri matamko bali tuchukue tahadhari.

Maendeleo hayana vyama!
Tahadhari ipi? Mbona wao hawavai hata barakoa kwenye mikusanyiko hata ya misiba?

Watakapoanza kupukutika mmoja baada ya mwingine misukule ya MATAGA msije mkaanza kuja hapa kuanza kucheua hovyo!
 
Wife usiku wa kuamkia leo hali ilikua sio hali,mwili ulikua wa moto sio kawaida,na siku mbili zilizopita alikua analalamika mwili wote unamuuma pamoja na kichwa,nilipata mawazo sio ya kawaida moja haikai mbili haikai moyoni namuomba mungu aniepushie kikombe hiki kama ni corona,asubuh nikambeba nikamwambia tunaenda hospitali,kacheck tatizo ni maralia na mkojo ni mchafu,kapatiwa dawa sasa hivi hali ni shwari.
Kwahiyo pmj na corona magonjwa mengine bado yapo.
Muhimu tuchukue tahadhari wakuu
 
Tatizo wabongo ni wanafiki sana.

Wanavyotudanganya Kama upo nje ya nchi?.

Yaani hawa wanaopiga kelele humu waweza ona wengi wao nilikuwa nao jukwaani tunashangilia Yanga usiku huu.
 
Tatizo wabongo ni wanafiki sana.

Wanavyotudanganya Kama upo nje ya nchi?.

Yaani hawa wanaopiga kelele humu waweza ona wengi wao nilikuwa nao jukwaani tunashangilia Yanga usiku huu.
😄😅😅Kweli kabisa mkuu
 
Habari za Jioni wapendwa katika bwana.

Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.

tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?

Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.

Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
Anza kupambana na hofu kwanza,...ukiiweza hofu, huo ugonjwa unakuja na kusepa.... Zizzou kapona, Saddy omane kapona,
Mwana FA kapona,...wewe nani usipone????? Jiweke sawa kisaikolojia na kimwili, tutashinda
 
Back
Top Bottom