mkuu chanja na familia yako wala sisi hatutegemei hiyo chanjo kuendelea kuwa hai..
 
"Kufa utakufa tu, iwe kwa Corona, ajali, malaria au hata kama unatembea. Akiamua yeye uende, utakwenda tu".Ni baadhi ya maneno ya shujaa wa Afrika. Atakaye kuiponya nafsi yake ataipoteza. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Yehova, yeye hashindwi kitu
 
Sasa chanjo itakuja baada ya mtu aliyekuwa akizuia watu wasipate chanjo hiyo kufa.
 
Ushakura hongo ndo unailipa
 
Ushakura hongo ndo unailipa
 
Hivi kama nchi tumejipanga vipi kuratibu wasafiri kutoka India kutokana hususan kipindi hiki ambacho ugonjwa wa Covid umekua mkubwa kupindukia huko india, ukimya wa serikali yetu na hili janga litakuja kutumaliza, hakuna hatua yoyote hii serikali inayochukua zaidi ya kuunda vikamati wakati ugonjwa unaelekea mwaka wa Pili
 
Ushakura hongo ndo unailipa
Wamekula hongo hao
 
"Kufa utakufa tu, iwe kwa Corona, ajali, malaria au hata kama unatembea. Akiamua yeye uende, utakwenda tu".Ni baadhi ya maneno ya shujaa wa Afrika. Atakaye kuiponya nafsi yake ataipoteza. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Yehova, yeye hashindwi kitu
Tutaendelea kuziishi fikra za shujaa wa Afrika JPM. Acha kujaza watu hofu.
 
Hizi hoja mfu, unatumia akili alizokupa Mungu kufikiri?
 
Kule India Visa vya Covid 19 vimepamba moto zaidi ya laki 2 kila siku wanaambukiza na 1% wanakufa.

kuna wafanyabiashara wanaenda au wanatoka huko.

Tunaitaji kuwa na mikakati ya kujikinga na janga hili. Cha kufanya pale airport tuwe makini .Mgeni awe wa nje au wandani anapongia aonyeshe cheti cha kwamba amepima lakini pia apimwe.tukumbuke kuwa chanjo haizuii kuambukizwa covid 19 hivyo mtu kuonyesha kuwa amechanjwa siyo salama sana.

Tuendelee kuchukua tahadhali pia na kuendelea kuliombea Taifa letu
 
Huko India wanatoana viungo washenzi hao we mtu aumwe covid then afe umtoe Figo hiyo figo haina maambukizi..!!!
 
Naona mnashabikia pasipo kujua jambo moja tu.

India ina watu 1.3 billion hivyo watu 200 000 kufa kwa covid msiifanye issue sana ooooo eti watu laki mbili .

Tofautisha india na tanzania au Kenya
 
Huu UGONJWA propaganda NI nyingi Sanaa

Sisi tuishi Tu maisha yetu.tukiupa promo tumekwisha.

Samia yupo SAHIHI kukaa kimya.

Huko India wanatoana viungo washenzi hao we mtu aumwe covid then afe umtoe Figo hiyo figo haina maambukizi..!!!
 
Hizi hoja mfu, unatumia akili alizokupa Mungu kufikiri?
Mkuu na wewe na umri huo bado unakaa kwa shemeji yako!?.. vipi huko uliko wamekufa wangapi kwa Corona wiki hii!?.. hivi hamjionagi WAPUMBAVU mpaka Leo na hizi kelele zenu za Corona!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…