martin ben
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 121
- 110
Tufate kanuni za afya zilizowekwa na tuache kuupa airtime humu kwenye mitandao ndio tunaongeza hofu na taharuki kwa raia wakati hakuna dawa.kwa hiyo? conclusion yako ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufate kanuni za afya zilizowekwa na tuache kuupa airtime humu kwenye mitandao ndio tunaongeza hofu na taharuki kwa raia wakati hakuna dawa.kwa hiyo? conclusion yako ni ipi?
tuache kuupa airtime......... should we conceal true information about the disease?Tufate kanuni za afya zilizowekwa na tuache kuupa airtime humu kwenye mitandao ndio tunaongeza hofu na taharuki kwa raia wakati hakuna dawa.
In one month tu tutajua nani yuko right nani yuko wrong.Mimi nashauri serikali iache kununua madawa yote hospitalini maana ni ya wazungu..
Punguza upumbavu ufike mbinguni! Umeulizwa swali simpo tu, kwamba malaria ndio ugonjwa unao ongoza kwa kuua hapa tz. Je kwenu au kwa jirani au kijiji au mtaa wa jirani kuna mtu yeyote ushawahi kushuhudia kafa kwa malaria?Mkuu wewe ndio baradhuli coz umetoa mfano wa kipuuz kwenye ishu sensitive. Malaria iko tofaut na Corona.Ugonjwa unaoambukizwa kwa hewa au kugusa HUITAJI DEBATE kujua upo au haupo...
Makao ya Rais ni ikulu na sio kijijini kwake. Tuliona mwaka jana alikimbilia huko fukuto lilipokuwa kubwa, mwaka huu nako kakimbia tena. Subiri akishakufa mamako au mumeo ndio utasadiki kuwa hii ngoma ipoHilo la kukimbilia chato unalisema wewe na ndio ungefaa kueleza kwanini umefikiri kakimbilia huko kujificha kwani huko chato ndio corona inaogopa kwenda ama vp? Au akienda Chato ndio hafanyi majukumu yake ya kawaida anajifungia ndani tu haonani na watu kuogopa corona?
Kajificha wapi?Yeye anapambana kwa kijificha, sisi tujifiche wapi? Ikipamba mot anajificha machakani, ikipoa anarudi. Analetewa kla kitu kwa fedha zetu, maisha kama kawaida kwake, Sisi tujifiche wapi?
Hafi mtu achaneni na propaganda za wazungu Tz iko salama.Wariokufa kwa corona nawajua, tena ni ndugu katika familia,,,wewe kaa ukijidanganya corona haipo. Na mtakufa msipojiangalia.
Magufuli yupo vizuri bora hata yeye ndio Rais kwa wakati kama huu, tungekua na Rais muoga muoga ungekuta tumefungiwa ndani muda huuBaba ameshasemaView attachment 1687332
Mbona haina haja ya kuongea maneno makali tunajadiliana tu,hakuna niliposema hakuna corona bali nachokizungumzia hapa ni huko kusema Magufuli kakimbilia Chato kuogopa corona, ndiyo nauliza huko Chato ndio huwa hakuna corona? au kwamba akiwa Chato huwa kinafanyika nini cha tofauti na Dodoma?Makao ya Rais ni ikulu na sio kijijini kwake. Tuliona mwaka jana alikimbilia huko fukuto lilipokuwa kubwa, mwaka huu nako kakimbia tena. Subiri akishakufa mamako au mumeo ndio utasadiki kuwa hii ngoma ipo
Uko sahihi kabisaMagufuli yupo vizuri bora hata yeye ndio Rais kwa wakati kama huu, tungekua na Rais muoga muoga ungekuta tumefungiwa ndani muda huu
Mshukuru sana JPM kwa kukuondolea HOFU, vinginevyo hata usingekuwa na nguvu ya kutumia hiyo device yako kuandika. You are such a clueless BehaviouristSerekali limbukeni!A creepy contradiction from a nasty president!
View attachment 1687517
Kuna njia sahihi zaidi za kuondoa hofu.Kuondoa hofu siyo kudanganya umma kuwa Tanzania hakuna Corona na matokeo yake watu wanaancha kuchukua tahadhari halafu watu wanaishia kupukutika kama nzige waliopigwa dawa.Alichofanya JPM ni crime against humanity.Anapaswa kushtakiwa kwa makosa ya mauaji ya halaiki.Mshukuru sana JPM kwa kukuondolea HOFU, vinginevyo hata usingekuwa na nguvu ya kutumia hiyo device yako kuandika. You are such a clueless Behaviourist