Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tza ukimiliki Tume huna haja na wapiga kura labda kwa ajili ya kuwahadaa tu watoa misaada.Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...
Kwa hiyo wewe unasemaje? Unataka raisi atangaze lockdown nchi nzimaNaam!
Assalamu alaikum.
Moja ya sababu kubwa kabisa zilizomfanya Donald Trump asiendelee kuwa rais wa Marekani ni namna mbovu alizotumia kukabiliana na janga la korona.
Ni wazi sasa hata rais wa Tanzania, mheshimiwa John Magufuli anatakiwa ajitathmini kama anastahili kuendelea kuwa rais.
Asubuhi njema.
Wapiga kura unawaonea tu. Katiba mbovu ya mwaka 1977 ya chama kimoja ndiyo mzizi wa haya matatizo yote.Wapiga kura wa tz sio sawa na wamarekani mkuu ... tofauti yao ni kama mbingu na ardhi...
Sijaelewa ulicho kiandika!Kugombea unangoja nn! Kichwa kimekujaa Narcotic s
Kwani katiba inatungwa na akina nani? My point is still valid.Wapiga kura unawaonea tu. Katiba mbovu ya mwaka 1977 ya chama kimoja ndiyo mzizi wa haya matatizo yote.
Wenzetu wanatanguliza maslahi ya Nchi na mtu au chama hufuata! Ila sisi ni Chama cha Mapinduzi kwanza halafu Nchi na watu ndiyo hufuatia.
Bado ni umbumbumbu wa wananchi. Ngoja dawa iingie mpaka tutakapojitambua in large numbers.Tza ukimiliki Tume huna haja na wapiga kura labda kwa ajili ya kuwahadaa tu watoa misaada.
Yeye hana chanjo?
Nchi fulani ipi hiyo isiyo na jina?
Ukweli ni huo tuendelee kujifukiza tuMtaani kuna wazee watatu wamedanja wamepishana siku 2 mbili, chanzo ni vifua kubana, nilikuwa nachukulia poa ila hivi vifo vya hawa wazee vimenifanya niamini
Na hawajaumwa muda mrefuUkweli ni huo tuendelee kujifukiza tu
kuna jirani yangu hapa Mbezi alianza kuumwa wiki iliyopita akapelekwa Massana hospital, akawekewa Oxygen wiki nzima, juzi kaambiwa Oxygen ya Massana haitoshi kwa hatua aliyofikia, akahamishiwa Lugalo na jana alfajiri amefariki.
Corona ipo tena ya kipindi hiki ni hatari.
Afya yako siyo mali ya serikali, chukua tahadhari.