#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,

Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona

Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Kweli mdau...covid 19 ipo..ila kuna watu wanajitoa ufahamu humu....kwamba hakuna...mpaka jamaa zao wafariki ndio wataamini hii kitu ipo.
 
Wakuu me mbona nashinda kariakoo daily na sipati corona?? Au askari wenu wapo weak?? Kuna watu wanaumwa mafua wanasema corona[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Kama unashinda tu kariakoo daily majibu ya fast kazi huna,jaribu kupita Temeke hospital leo?

Kama nauli huna weka namba yako ya tigo nikupe nauli
 
leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
 
Kwa logic yako ya hovyo kwa nini basi kuna hospitali na madawa ya kutibu watu?
Kwa nini mtu afe aache mjane, watoto na hata wazazi wanaomtegemea kwa ugonjwa unaozuilika?
We bure kabisa
Kufa kusikunyime usingizi mkuu

Wewe jipange maana corona sio ugonjwa pekee unaoua watu

There is a dozen of them, Mungu mwema tunasonga mbele tunazidi kufyatua tuongezeke
 
Kama unashinda tu kariakoo daily majibu ya fast kazi huna,jaribu kupita Temeke hospital leo?

Kama nauli huna weka namba yako ya tigo nikupe nauli

Nauli ya nn mkuu, nikiona ndugu yangu au rafiki zangu wa karibu wameugua nitaamini ila bado siamin hii kitu we endelea kujifukiza mkuu piga nyungu
 
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,

Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona

Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
SASA KAMA UNAJUA CORONA IPO NA INAUA, KWANI UMEFICHWA NINI SASA NAWAKATI WEWE UNAJUA??
 
Ugonjwa hatari wa Ndui ulipoingia duniani kama watu wangesema kuwa kufa ni jambo la kawaida basi leo hii kusingekuwa na binadamu yeyote kwenye hii dunia!
Hawa watu wote wana akili kama za ''baba yao''. Mzee hajui historia inaonyesha dunia imeshakumbwa na magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza kwa vipindi kadhaa na juhudi za wataalam ndiyo zimefanya hata wengi wa sisi tuwepo duniani sasa na wengine hata kupata urais. Milipuko ya magonjwa ilipokuwa inatokea wangekuwa wanasema ''chapeni kazi hakuna ugonjwa'' au wangetemea kumwomba Mungu peke yake leo hii dunia isingekuwa kama ilivyo. They are more than stupids.
 
Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona
Watu sita..!?
Kama wote wamedhibitishwa pasi na shaka kwamba wamekufa kwa corona, basi hilo litakuwa funzo tosha kwa watu wa eneo hilo kufuata taratibu zote za kujikinga dhidi ya ugonjwa huu.

Ajabu..inawezekana watu hawachukui tahadhari( si ajabu hata wewe mleta habari hujavaa barakoa na ulihudhuriamazishi ambayo pia hayakuzingatia masharti).
Badala yake tunasubiri kauli za kisiasa toka serikalini.
Watanzania sijui nani ametuloga!
 
Nauli ya nn mkuu, nikiona ndugu yangu au rafiki zangu wa karibu wameugua nitaamini ila bado siamin hii kitu we endelea kujifukiza mkuu piga nyungu
Wewe na panya hamna tofauti kiakili. Au pengine panya anakuzidi? Nasema hivyo kwa sababu ili panya ajue kitu ni hatari basi ni mpaka aone panya mwenzake amedhurika.
 
Generally, watu wanakufa na kuzaliwa dunia nzima

We unataka uishi milele we Mungu??

Unakufa wanakuja wengine
oya fikiria ka mtu aliyesoma hata darasa la nne akafika...Corona ipo na inauwa...mnapo achilia swala hili na kuishi kikawaida bila ya hatua zozote zile za kujikinga ...ugonjwa unasambaa sana.. na ni hatari maana hauuwi kila mtu na pia unafanana na daliuli za homa hivyo sio rahisi kuutambua ...but linauwa saana....stupid
 
Tunalalamika sana. FAHAMU KUWA KILA MTU ANAOGOPA, HATA SERIKALI YAKO INA HOFU NA HUU UGONJWA, NI UJASIRI TU ILI PANIC ISIONGEZEKE NDANI YA NCHI.

kama unaiona na inaua kaa ndani. Mbona wengine tunachukua hatua?

Yaani unataka serikali ifanyaje kuhusu uhai wako? JPM ni MUNGU ahakikishe kuwa hufi? unajua yeye anachukua hatua gani kujilinda?

Serikali imefanya hesabu zake imeona haiwezi fungia watu, haiwezi lisha watu, ugonjwa hauna tiba, mataifa makubwa wanakufa pia, wanaofata taratibu za afya wanakufa, chanjo haieleweki eleweki, ikafikia maamuzi iliyofikia.

Kama unaona maamuzi ya serikali yatakufanya ufe serikali haijazuia mtu kujificha ndani. Ts a choice, njaa au korona. Kama una means za kupambana na maisha ukiwa ndani umejifungia, fanya tu hivyo.
 
oya fikiria ka mtu aliyesoma hata darasa la nne akafika...Corona ipo na inauwa...mnapo achilia swala hili na kuishi kikawaida bila ya hatua zozote zile za kujikinga ...ugonjwa unasambaa sana.. na ni hatari maana hauuwi kila mtu na pia unafanana na daliuli za homa hivyo sio rahisi kuutambua ...but linauwa saana....stupid
Sasa mkuu bora ungeniita pumbavu ukiniita stupid watu hawaelewi

Pamoja na mbwembwe zoteulizozitoa watu wataendelea kufa tu na hivyo unavyodai ni kujikinga havisaidii

Tusali, tujiweke tayari kuuvua mwili wa kuharibika tuvae ule usioharibika na kupokea hukumu ya matendo yetu
 
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,

Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona

Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Kuna director mmoja kapoteza ndugu 3 ndani ya siku 2 kwa changamoto ya upumuaji
 
Back
Top Bottom