#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Unadhani hivyo vifo vya kufuatana hivyo havikuwepo before corona? binafsi mwaka juzi nimefiwa na watu wangu wa karibu ndani ya wiki moja na wote walikuwa wanaishi eneo moja ilikuwa mshangao kwa majirani ingekuwa kipindi basi bila ya shaka hivyo vifo vingehusishwa na corona.
Nikwambie kitu,huo upuuzi wa kusema sijui vifo vilikuwepo tu huwa sipendi kusikia,maana hii pandemic ipo....na hajafia nyumbani kafa kwenye hospital daraja la kwanza kabisa akipumulia mashine....na madokta wamethibitisha.....aliyekuwa anamuuguza ni mm mwenyewe nikweli kusema Corona haipo ila ukionana na madaktari watakwambia ukweli
 
Corona ipo jamani. Yani wikii hiii baba yangu kapoteza marafiki wanne kwa covid. Na wote hawajaugua sana ndani ya masaa 24 mtu anaishia. Tuchukue tahadhari zote. Na ya safari hii haingalii umri ikikushika sana yoyote unaenda
Hivi humu mnatangaza vifo vya corona au ilimradi tu vifo? Maana kila siku vifo vinatokea kwa mamia,sasa sijui wenzetu mnatenganisha vp hivyo vifo kati ya vya corona na visivyo vya corona?
 
Sasa mkuu bora ungeniita pumbavu ukiniita stupid watu hawaelewi

Pamoja na mbwembwe zoteulizozitoa watu wataendelea kufa tu na hivyo unavyodai ni kujikinga havisaidii

Tusali, tujiweke tayari kuuvua mwili wa kuharibika tuvae ule usioharibika na kupokea hukumu ya matendo yetu
Kufanya kitu unajua utakufa hata mbele za Mungu ni dhambi. Ingekua hivyo hata Yesu alikuwepo asingekua anaombea watu ili waponywe magonjwa. Acha kua na fikira za kipumbavu, unatakiwa kufight kuokoa maisha ili kama Mungu ameamua kukuchukua akuchukue, Ila sio kujiua
 
Hivi humu mnatangaza vifo vya corona au ilimradi tu vifo? Maana kila siku vifo vinatokea kwa mamia,sasa sijui wenzetu mnatenganisha vp hivyo kati ya vya corona na visivyo vya corona?
Unafikiri watu ni vichaa au? Yan ujitoe ufahamu kua mtu kafa kwa high bp wakati ni kweli corona
 
Nikwambie kitu,huo upuuzi wa kusema sijui vifo vilikuwepo tu huwa sipendi kusikia,maana hii pandemic ipo....na hajafia nyumbani kafa kwenye hospital daraja la kwanza kabisa akipumulia mashine....na madokta wamethibitisha.....aliyekuwa anamuuguza ni mm mwenyewe nikweli kusema Corona haipo ila ukionana na madaktari watakwambia ukweli
Mimi sijazungumzia habari za kusema corona haipo hapa bali nazungumzia hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi,kama kuna watu wanaaminishana hakuna basi sio sababu ya wengine nao kuhusisha vifo vya watu na corona ili tu ijulikane corona ipo.
 
JPM hawezi kusema chochote mpaka dakika hii kwasabb so far ameshaaibika...japo hanaga aibu!.
 
Kweli kabisa na wengi wetu imeisha tupiga sema tumeweza kusimama tena lkn hofu yangu je ikija kwa nguvu kubwa na wadudu hao waka ‘evolve’ kivingine na kuwa na nguvu je tutahimili huo mzunguko mwingine
 
Sasa mkuu bora ungeniita pumbavu ukiniita stupid watu hawaelewi

Pamoja na mbwembwe zoteulizozitoa watu wataendelea kufa tu na hivyo unavyodai ni kujikinga havisaidii

Tusali, tujiweke tayari kuuvua mwili wa kuharibika tuvae ule usioharibika na kupokea hukumu ya matendo yetu
samahani kaka
 
Unafikiri watu ni vichaa au? Yan ujitoe ufahamu kua mtu kafa kwa high bp wakati ni kweli corona
Umejuaje kuwa ni kweli corona? au tu kwa sababu kuna corona basi hayo magonjwa mengine yamestop kusababisha vifo? point yangu ni hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi kisa tu kuna corona basi kwahiyo kila kifo ni corona ila wanaficha,sasa huo nao si utakuwa ni ukichaa.

Huna ushahidi una haja gani ya kuhusisha hivyo vifo na corona?ili iweje hasa?
 
Unadhani hivyo vifo vya kufuatana hivyo havikuwepo before corona? binafsi mwaka juzi nimefiwa na watu wangu wa karibu ndani ya wiki moja na wote walikuwa wanaishi eneo moja ilikuwa mshangao kwa majirani ingekuwa kipindi basi bila ya shaka hivyo vifo vingehusishwa na corona.
Shida sio kufa, ila wanakufaje. Ukienda kwa daktari unamwambia dalili za ugonjwa unaoumwa, afu ndipo anakuambia kua kapime ugonjwa flani na flani kutokana na dalili ulizomwelezea, sasa kama watu wanakufa na dalili za tatizo la upumuaji na dalili za corona ni mtu kushindwa kupumua . Siwalaumu wanaosema kila mtu anayekufa kwa tatizo la upumuaji ni corona. Ila mamlaka inatakiwa ilaumiwe kwa kutowapima wagonjwa ili kujiridhisha kua ni ugonjwa wa namna gani huu unasababisha mtu kushindwa kupumua
 
Mimi sijazungumzia habari za kusema corona haipo hapa bali nazungumzia hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi,kama kuna watu wanaaminishana hakuna basi sio sababu ya wengine nao kuhusisha vifo vya watu na corona ili tu ijulikane corona ipo.
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwa anashangilia kusema kafiwa kwa corona,itamsaidia nn?
 
Kusema upo au kutosema haibadilishi uwepo wake
Sawa ni kila mmoja ajikinge kwa staili yake.
Wizara imetoa dawa mbadala baada ya ile ya Kaburi kufeli.
Je wewe ni nani hasa hata upinge uwepo wa KORONA?
 
Mzee amefariki kwa kovid leo.....tunamsika saa 10.....alifikia hatua ya kukohoa damu nyeusi na alikuwa hawezi kupumua,huku mapafu yakikaza sana,tuwashauri wazee wetu wenye umri 70+ wakae home tu kama hakuna umuhimu wa kutoka
Pole Sana ..inaumiza sana
 
Wewe na panya hamna tofauti kiakili. Au pengine panya anakuzidi? Nasema hivyo kwa sababu ili panya ajue kitu ni hatari basi ni mpaka aone panya mwenzake amedhurika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida sio kufa, ila wanakufaje. Ukienda kwa daktari unamwambia dalili za ugonjwa unaoumwa, afu ndipo anakuambia kua kapime ugonjwa flani na flani kutokana na dalili ulizomwelezea, sasa kama watu wanakufa na dalili za tatizo la upumuaji na dalili za corona ni mtu kushindwa kupumua . Siwalaumu wanaosema kila mtu anayekufa kwa tatizo la upumuaji ni corona. Ila mamlaka inatakiwa ilaumiwe kwa kutowapima wagonjwa ili kujiridhisha kua ni ugonjwa wa namna gani huu unasababisha mtu kushindwa kupumua
Mkuu mbona wameeleza hayo magonjwa ambayo husababisha hayo matatizo ya kupumua mbali na corona sasa wewe unachosema ni kwamba wanauguza wenye shida ya kupumua bila kujua wanasumbuliwa na nini,ila tatizo ni sisi kwamba kila mtu ambaye ana shida ya kupumua basi tuseme ni corona.
 
Wakuu me mbona nashinda kariakoo daily na sipati corona?? Au askari wenu wapo weak?? Kuna watu wanaumwa mafua wanasema corona[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Ao watu unatarajia wakiumwa mafua wadhani ni nini wakati kipimo tu dola 100.
 
Mkuu mbona wameeleza hayo magonjwa ambayo husababisha hayo matatizo ya kupumua mbali na corona sasa wewe unachosema ni kwamba wanauguza wenye shida ya kupumua bila kujua wanasumbuliwa na nini,ila tatizo ni sisi kwamba kila mtu ambaye ana shida ya kupumua basi tuseme ni corona.
Wamesema ni magonjwa gani?
 
Back
Top Bottom