Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nikwambie kitu,huo upuuzi wa kusema sijui vifo vilikuwepo tu huwa sipendi kusikia,maana hii pandemic ipo....na hajafia nyumbani kafa kwenye hospital daraja la kwanza kabisa akipumulia mashine....na madokta wamethibitisha.....aliyekuwa anamuuguza ni mm mwenyewe nikweli kusema Corona haipo ila ukionana na madaktari watakwambia ukweliUnadhani hivyo vifo vya kufuatana hivyo havikuwepo before corona? binafsi mwaka juzi nimefiwa na watu wangu wa karibu ndani ya wiki moja na wote walikuwa wanaishi eneo moja ilikuwa mshangao kwa majirani ingekuwa kipindi basi bila ya shaka hivyo vifo vingehusishwa na corona.