#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Umejuaje kuwa ni kweli corona? au tu kwa sababu kuna corona basi hayo magonjwa mengine yamestop kusababisha vifo? point yangu ni hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi kisa tu kuna corona basi kwahiyo kila kifo ni corona ila wanaficha,sasa huo nao si utakuwa ni ukichaa.

Huna ushahidi una haja gani ya kuhusisha hivyo vifo na corona?ili iweje hasa?
Kuna mahali nimesema sina ushahidi? Au tunaishi wote mpaka ujue circle ya watu wangu? Ebu use your common sense hata kidogo
 
leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
Nilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma dar, na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwa anashangilia kusema kafiwa kwa corona,itamsaidia nn?
Si suala la kushangilia bali mitazamo tu ambayo naona si sahihi,husababishwa na mitazamo ya mtu jinsi anavyochukulia corona ndipo hupelekea kuhusisha vifo vya watu na corona pasina kuwa na uhakika.
 
Nilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.
Hiyo dodoma ndo usiitaje ni death pit now watu wanakufa balaa
 
Nilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.
Hahaha ila binaadamu mmeshindikana,leo tena Chato panakimbiwa sio tena kimbilio!
 
Kuna mahali nimesema sina ushahidi? Au tunaishi wote mpaka ujue circle ya watu wangu? Ebu use your common sense hata kidogo
Nimezungumzia kwa ujumla ila kama wewe unao ushahidi itakuwa vizuri kuliko kufanya kama wengine wanavyofanya kuishia kutangaza vifo na kuvihusisha na corona basi na kuishia hapo.
 
leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
Apumzike kwa amani, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, ambaye alikuwa TIMU LOWASSA, na kupelekea kufukuzwa chamani na JPM, na baadaye kusamehewa, Bwana Erasto Kwillasa. Amefia Nairobi jana!
 
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,

Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona mi familia ya Mr Gaudence, na nyingine ya Mzee John Chillo,

Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa

Naona Melo na Mods wakitaka kuufuta Uzi huu plz msiufute Corona ipo watu wawe aware
Bungeni inafiki lini aisee?
 
Hizo ni propaganda za mabeberu pamoja na wewe sisi tunaendelea kujifukiza na kupiga kazi kama kawaida hakuna cha corona wala mama yake corona
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,

Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona mi familia ya Mr Gaudence, na nyingine ya Mzee John Chillo,

Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa

Naona Melo na Mods wakitaka kuufuta Uzi huu plz msiufute Corona ipo watu wawe aware
 
Magufuli aache maramoja kutangaza majukwani kwamba korona hamna anapotosha raia
 
Generally, watu wanakufa na kuzaliwa dunia nzima

We unataka uishi milele we Mungu??

Unakufa wanakuja wengine
Wakifaga MaCCM mimi huwa nafurahia kwa kweli, sio nawachukia lahasha. Wanakufa wanakuja wengine.
 
ASIE AMINI KAMA Uviko aka Covid-19 au almaarufu korona, atembelee hospitali ya agakan hapa dar,aone wenye hela wanavyohangaika na mapaipu ya puwani.
Ipo ile nyimbo inasema ....Nenda kaone mwenyewe utakuja kuwseemaa... sijui muimbaji ni King kikii au Abdallah Mwinshee sidhani kama ni Remi au ni Nuta jazz band. usifananishe na nyimbo za hawa wakata mauno wa siku hizi zinazovuma siku moja.
 
Nilikuwa najiuliza maswal mengi bila ya kupata jibu - mwishowe nika conclude kwamba labda Taifa letu lime hamuwa kujiweka kwenye herd Imumunity mode kama Sweden!! Kitu kingine nilikuwa nadhani viruses zinapo mutate zinakuwa less virulent kuliko za mwanzo - my opinion.
 
Generally, watu wanakufa na kuzaliwa dunia nzima

We unataka uishi milele we Mungu??

Unakufa wanakuja wengine
Stupid arguments like that one of Chatroooo.
Kufa kupo lkn siyo kufa kizembe, nyau wewe!!
 
nadhani unachanganya , Tanzania hakuna corona , kuna NIMONIA KALI tu , hili ni suala la hali ya hewa tu baada ya huu upepo upepo mbaya kupungua litakwisha

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimesikia inaitwa ugonjwa wa kushindwa kupumua. Wao wanasema, lakini dalili zake zinataka kufanana na CORONA. MMMM DU WATANZANIA TUJIANGALIE NA TUWE MAKINI SANA TU.
 
Hakuna anayebisha kuwa korona haipo, ipo, lakini..tufanyeje?

Mletewe chanjo siyo?

Mbona hata hao Wenye chanjo zao Bado wanalalamika?

Chanjo ya Corona ni ya Aina yake tangu wanasayansi kuwepo, Yaani mtu unachanjwa halafu unahofia wasiochanjwa, yaani chanjo ili ifanye kazi lazima wote mchanjwe? Upuuzi huu

Nishasema Mimi sichanjwi Licha ya mafua haya kunipata, tangawizi, limao, swaumu n.k vinasaidia, Ila si zaidi kama Mungu
 
Watu ni wapumbavu sana mkuu tena hawa wa humu mitandaoni wanaojifanya wasomi.

We unaona kabisa mataifa mengine wanaondoka watu mpaka 2000 kwa siku alafu mtu anakuja hapa eti watu wanakufa selikali inaficha.!

Ukiuliza sana ulitaka selikali ifanyaje? Hana jibu.

Ujerumani toka jumatatu wanarekodi vifo 900+kila siku alafu mtu yupo anazurura hapo kariakoo anataka selikali sijui imwambie nini.
 
Back
Top Bottom