Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Asante mkuu,ila no way lazima tuachiane ukweli ili tahadhari iongezekePole Sana ..inaumiza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu,ila no way lazima tuachiane ukweli ili tahadhari iongezekePole Sana ..inaumiza sana
Kuna mahali nimesema sina ushahidi? Au tunaishi wote mpaka ujue circle ya watu wangu? Ebu use your common sense hata kidogoUmejuaje kuwa ni kweli corona? au tu kwa sababu kuna corona basi hayo magonjwa mengine yamestop kusababisha vifo? point yangu ni hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi kisa tu kuna corona basi kwahiyo kila kifo ni corona ila wanaficha,sasa huo nao si utakuwa ni ukichaa.
Huna ushahidi una haja gani ya kuhusisha hivyo vifo na corona?ili iweje hasa?
Nilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma dar, na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
Si suala la kushangilia bali mitazamo tu ambayo naona si sahihi,husababishwa na mitazamo ya mtu jinsi anavyochukulia corona ndipo hupelekea kuhusisha vifo vya watu na corona pasina kuwa na uhakika.Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwa anashangilia kusema kafiwa kwa corona,itamsaidia nn?
Hiyo dodoma ndo usiitaje ni death pit now watu wanakufa balaaNilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.
Hahaha ila binaadamu mmeshindikana,leo tena Chato panakimbiwa sio tena kimbilio!Nilichogundua hii corona inatembea sana sehem zenye baridi. Tushukuru sana miji mikuu hapa Tz inajoto kama dodoma na mwanza. Mkuu naye kule chato kapakimbia. Kagera kuna baridi watu wanaumwa mafua ya hatari.
Ni kama vile corona inamfata mzee baba kila anakokimbilia.Hahaha ila binaadamu mmeshindikana,leo tena Chato panakimbiwa sio tena kimbilio!
Nimezungumzia kwa ujumla ila kama wewe unao ushahidi itakuwa vizuri kuliko kufanya kama wengine wanavyofanya kuishia kutangaza vifo na kuvihusisha na corona basi na kuishia hapo.Kuna mahali nimesema sina ushahidi? Au tunaishi wote mpaka ujue circle ya watu wangu? Ebu use your common sense hata kidogo
Nipo wilaya mpwapwa watu wanaondaka jamani. Maana mpka ofisi za CCM wameweka taratibu zote
Apumzike kwa amani, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, ambaye alikuwa TIMU LOWASSA, na kupelekea kufukuzwa chamani na JPM, na baadaye kusamehewa, Bwana Erasto Kwillasa. Amefia Nairobi jana!leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
Bungeni inafiki lini aisee?Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,
Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona mi familia ya Mr Gaudence, na nyingine ya Mzee John Chillo,
Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Naona Melo na Mods wakitaka kuufuta Uzi huu plz msiufute Corona ipo watu wawe aware
Watu wanakufa kila kuchwao na ina sikitisha Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,
Kuna suala limetokea Jana Kibaha Kongowe ni hatari sana , watu sita wamekufa kwa sababu ya Corona mi familia ya Mr Gaudence, na nyingine ya Mzee John Chillo,
Watu wanakufa wanakufa wanakufa nasema wanakufa
Naona Melo na Mods wakitaka kuufuta Uzi huu plz msiufute Corona ipo watu wawe aware
Wakifaga MaCCM mimi huwa nafurahia kwa kweli, sio nawachukia lahasha. Wanakufa wanakuja wengine.Generally, watu wanakufa na kuzaliwa dunia nzima
We unataka uishi milele we Mungu??
Unakufa wanakuja wengine
Stupid arguments like that one of Chatroooo.Generally, watu wanakufa na kuzaliwa dunia nzima
We unataka uishi milele we Mungu??
Unakufa wanakuja wengine
Nimesikia inaitwa ugonjwa wa kushindwa kupumua. Wao wanasema, lakini dalili zake zinataka kufanana na CORONA. MMMM DU WATANZANIA TUJIANGALIE NA TUWE MAKINI SANA TU.nadhani unachanganya , Tanzania hakuna corona , kuna NIMONIA KALI tu , hili ni suala la hali ya hewa tu baada ya huu upepo upepo mbaya kupungua litakwisha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]