Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniquote kama ni mjinga kiasi hicho.Kwani kutoa tamko shi ngapi?
Ni kweli mkuu, lakini wangeweza kweli kuwa na ujasiri wa kumpinga mkuu Rais anachosema?Nitawalaumu waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari maana wameshindwa elimisha jamii.
Sasa hana nguvu maana anapigwa kila kona.Ni kweli mkuu,lakini wangeweza kweli kuwa na ujasiri wa kumpinga mkuu Rais anachosema?
Wapo wengi sanaNaam wapo!
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni KulitumbuaNdugu zangu kulalamika hakujawahi kutatua tatizo kama una jipu tumbua na sio kulalamika jipu linauma,huku huchukui juhudi zozote kuliondoa...
Umehama chama?Ni kweli mkuu,lakini wangeweza kweli kuwa na ujasiri wa kumpinga mkuu Rais anachosema?
Wewe umetoa hoja ipi hasa?Tatizo la kila mtu anataka kumuaminisha mwenzake badala ya kujadiliana kwa hoja. Mtu anataka kukuaminisha hakuna corona hali ya kuwa hatupimi corona na kutoa takwimu ili kuthibitisha kweli hakuna,mwengine nae anakwambia corona ipo na watu wanakufa halafu ushahidi hana anabaki kusema Tz sio kisiwa.
Ndugu Missile uko sahihi kabisa!Hii ya kudiscourage watu kujikinga, kufanyia mizaha barakoa, kila mara kutangaza kuwa korona haipo iliwafanya wananchi wengi washushe guard zao na wengine waamini moja kwa moja korona haipo!. Sasa ikipiga tena inawakuta wananchi wamerelax hawana habari!..
Serikali imeshajitoa kwenye huu msala imekuachia wewe mwenyewe uhangaike nao. Yenyewe inaendelea tu kuingiza watalii nchini bila kujali kuna uwezekano mkubwa wao ndo wametuletea msala huu kwa kiwango kikubwaHabari zenu wakubwa kwa wadogo poleni kwa misiba inayotokea ila ndio mwisho wa binadamu lazima tukubali ila ningependa kushauri kwa sasa watu wenye umri kuanzia 55 nakuendelea walazimeshwe kuvaa barakoa baada ya hapo serikali iweke utaratibu maalum wa mazoezi kwa wenye kuweza huku tukiebdelea kuchukua tahadhari nawaambia watanzania wenzangu huu sio mda wakutafuta watu wakuwalaumu huu mda wakusaidiana na serikali ili sote tuwe salama naona kuna watu wanashindwa elewa maana ya upinzani matokeo yake wanatandaza chuki kipumbavu kama kweli ipo corona tuchukue tahadhari na habat soda
nadhani huu si wkt wa kuweka siasa kwenye mambo ya muhimu.BVICHA ...mnalalamika afu hamtuletei dawa ....[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Hey, bado hujapona tu🤔! Pole, usijali Mungu akusaidie utimamu wa akili ukurudie!Huyu naye, ukibishana na watu wa aina yako kwanza unaweza jikuta hata wamekuambukiza 'viakili vyao'..!