mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Hata kuanzisha mada pia ni mchango mkubwa.Sasa wewe umetoa mchango gani wa jinsi ya kupambana na corona? Au umekuja kuandika bla bla tu na kuondoka ?
Nasubiri mchango wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuanzisha mada pia ni mchango mkubwa.Sasa wewe umetoa mchango gani wa jinsi ya kupambana na corona? Au umekuja kuandika bla bla tu na kuondoka ?
Uzi hauna vigezo na masharti, yeyote anachangia kadili iwezekanavyo ili mradi yawe mawazo mazuri ya kupambana na huu ugonjwaUmeanzisha uzi halafu comments nyingi za kwako tena..
Hayo ni mawazo yako,Nani kasema kohrohnah ipo hapa?
Huu ni uchochezi.
Huu ni UTOPOLO, ukifiwa na ndugu yako wa karibu, hutoandika ungedere huuNimeona watu wengi wanalaumu serikali hasa Rais Magufuli kuhusu vifo hivyo vinavyohusishwa na ugonjwa wa Corona,
Wengine wanakejeli, kutukana, kebehi n.k kuhusu serikali.
Ila ni wachache sana wanakuja na ushauri au solution kutokana na wingi wa vifo hivyo.
Inajulikana Corona ipo nchi nyingi, imeua na inaendelea kuua watu duniani kote.
Hivyo kama watanzania wenye akili timamu bila kuangalia itikadi zetu za kisiasa, kidini, kikabila n.k ni vizuri tukawekeza nguvu kubwa katika kutoa mawazo ya kujenga kuhusu namna ya kupambana na huu ugonjwa.
Hivyo kwa yeyote mwenye mawazo mazuri ya namna ya kupambana na huu ugonjwa ni vizuri akashauri vyema sababu Corona haichagui mtu wa kumuondoa, pia ugonjwa wa Corona haujaletwa na serikali au Raisi Magufuli hivyo matusi, kejeli, dharau na vitu vya namna hiyo kwa serikali sio sawa.
Acha kukalili wewe Buji,Huu ni UTOPOLO, ukifiwa na ndugu yako wa karibu, hutoandika ungedere huu
Sasa huyo Magufuli nimemtukana tusi gani?Acha kukalili wewe Buji,
Kwa hiyo unataka nilaumu au kumtukana Magufuli na serikali kuhusu Corona ndio uone nimeweka mada nzuri.
Kuna mda wa propaganda za siasa na kuna mda wa kutoa mawazo mbadala
'Mamlaka' inasema hiyo kitu haipo macho makavuuuu,Hayo ni mawazo yako,
Ila kuna mada za kuweka masihara.
Kama wewe haujafa leo basi mshukuru Mungu, ila inawezekana kesho ukafa wewe au mtu wako wa karibu.
Hahahaaaa,,, hiyo inaitwa kumaliza mwenyeweUmeanzisha uzi halafu comments nyingi za kwako tena..
Katika hizo hoja zako naungana nawe kabisa, kuna haja serikali kutoa kauli kuhusu mustakabali wa wananchi na huu ugonjwaSasa huyo Magufuli nimemtukana tusi gani?
Ninachosema Magufuli atimize wajibu. Kimya ni jawabu la mpumbavu.
Atoe amri, vyombo vya usafiri wa umma, turudi kwenye level seats.
Kinyume na hapo atakuwa anafanya genocideView attachment 1705913
Kuna kujikinga kwa mtu binafsi na Kitaifa,'Mamlaka' inasema hiyo kitu haipo macho makavuuuu,
mimi ni nani niseme vinginevyo?
wewe nani unipinge?
Sikuelewi ujue.