Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Corona inaingia kwenye mwili au kwenye nini?Kwenye suala la Ulinzi wa mwili hapo Mungu sidhani kama ataweza maana kama ingewezekana najua kwa imani aliyo nayo Rais angesema hata walinzi hataki amemwachia Mungu. Maana atakaye ikoa nafsi yake ataipoteza.
Kwa hiyo wewe unataka waseme nini? Madaktrai unawategemea wako chini ya mkono wa Mungu unayemdharau. Na usipotubu upumbavu wako wa kumdharau Mungu, shauri lako. Endelea kukufuru. Sisi tunajua wave ya kwanza ya COVID 19 Mungu alituponya na madaktari walishuhudia hili. Leo wewe unajifanya mungu mpumbavu.Pamoja na kuonfoa hofu katika jamii, suala la maambukizi mapya, 2nd wave ya covid 19 bado limekuwa tishio kubwa...
Bila sayansi hakuna vita dhidi ya huu ugonjwa.Wafukuzwe kazi?
Utanisamehe ndugu yangu.Kwa hiyo wewe unataka waseme nini? Madaktrai unawategemea wako chini ya mkono wa Mungu unayemdharau. Na usipotubu upumbavu wako wa kumdharau Mungu, shauri lako. Endelea kukufuru...
Wanahofia RUNGU toka juu!Madaktari bingwa na wanasayansi waliobobea wameluwa kimya utafikiri wamewekewa maji baridi.
pale politics onapo zidi professiinalsm. ndicho konachotokea sasa. Hata madaktaru bingwa wameshindwa kuwa na msimano kabisa. wote wanasifu na kuabudu.. taaluma wameweka mfuko wa nyuma.Utanisamehe ndugu yangu.
Unachosema ndio upotoshaji wa hali ya juu katika gonjwa hili....
and maybe wana uhaba wa vifaa. so wanafanya kazi kwa mazingira yale yale.Nadhani kuna kitu hakipo sawa, ingawa changamoto ya ukimya iliyopo itawamaliza kimya kimya.
Tumeusiwa kutokuongea bila data, ila hii kada ya afya pia wanaondoka mno kutokana na covid. Nadhani hawachukui tahadhali za kutosha wanapowahudumia wagonjwa wao.
umeshapata chanjo?Pole sana mkuu, sasa hivi unaendeleaje?
Mimi huku niliko wamenitumia ujumbe nina nafasi ya kujisajili kupata chanjo.
Hivi Ni kweli hujasikia serikali ikihimiza watu kuchukua tahadhari? Hata kule kuambiwa tumia barakoa uliyoshona mwenyewe ni tahadhari kubwa Sana dhidi ya Corona, je hujawahi kusikia?Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi mpaka serihakijui mipaka ya kisiasa...
Ni kweli kabisa! Akifariki mtu tu tayari ni kosa kana kwamba kabla ya Corona watu walikuwa hawafi!Kama kweli nyie ni wapenda ukweli amkeni usiku wa manane muone buguruni palivyojaa watu wakihangaika, huyu anaemda Kariakoo,huyu Ubungo ,yule G mboto. Kwa ujumla ni mshikemshike. Watu wako busy kusaka maisha yao...
Lazima tuji ulize maswali. Rais Magufuli pamoja na team yake ikulu lazima wanafahamu vizuri sana kuhusu ugonjwa huu wa corona, athari zake na njia za kuji kinga. Wao kusema kwamba hatuhitaji lockdown wala chanjo zinazo tolewa nchi zingine na ku ongezea haya kwa kusema kwamba tumtegemee Mungu kutusaidia ni njia moja ya kusema kwambaCorona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na jitihada za kupambana na huu ugonjwa.
Siyo siri, sisi Tanzania kwa kiwango kikubwa tulinusurika na wimbi la kwanza la maambukizi yale. Mungu wetu alitusaidia na kwa kweli watanzania walijitahidi pia kuchukua hatua, kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono etc
Pamoja na mafanikio yale haikuwa sahihi na haiendelei kuwa sahihi serikali kukaa kimya na kuacha kila mtu aamini Korona haipo nchini, au kuuaminisha umma kuwa korona haipo kabisa. kufanya hivyo siyo sahihi hata kidogo
Lakini cha kushangaza zaidi ni pale serikali na vingozi wake walipoanza kudiscourage wananchi kuchukua hatua za kujikinga. Barakoa zilianza kufanyiwa mizaha etc
Serikali ilipaswa iendelee kuhimiza watu waendelee kuchukua hatua, na kuencourage watu kujilinda lakini siyo kudiscourage measures zote ambazo wananchi wanafanya.
Labda kitu kimoja ambacho serikali lazima ielewe ni kuwa sasa wananchi wameanza kuwa na wasiwasi kuwa Korona ipo nchini, lakini wanakosa uhakika wa kimamlaka kulichukulia kwa uzito stahili maana serikali imeamua kupiga kimya!
Mimi ningependa kuieleza serikali yetu kuwa ni higly irresponsible katika kipindi hiki dunia imeingia katika vita ya pili juu ya huu ugonjwa lakini yenyewe imekaa kimya tu inawaacha wananchi peke yao utafikiri kondoo wasio na mchungaji.
Tunataka kusikia kauli ya serikali. Je, Corona ipo Tanzania? Je, serikali ina mpango gani au imeamua wenye kuugua waugue, wenye kufa wafe lakini yenyewe itakaa kimya tu?
Nchi jirani zetu baadhi zimeanza kuchukua hatua kali mipakani mwao kuhusu wanaoingia, je sisi mambo shwari tu hakuna ishu?
Sisi tukimuona rais wetu amekwenda tena Chato kipindi hiki tukiambiwa kuwa Corona imechachamaa huko duniani tunapata wasiwasi kuwa huenda yasemwayo mitaani kuwa ni kweli maana tunakumbuka kipindi kule rais alipokwenda kukaa huko Chato kwa zaidi ya miezi miwili kipindi Corona imechachamaa mwaka jana! Je, ngoma imerudi kama mwaka jana?
Tunataka serikali itupe majibu, tunataka kujua status ya hali ya Corona nchini, maana baadhi ya watu wanaoaga dunia kuna watu mitaani wamekuwa wakinong'ona kuwa Korona ipo na inang'ata.
Wananchi tunataka majibu, tena majibu sahihi ya hili suala!
Hivi ulimsikia naibu waziri wa afya alipokuwa anazungumza na watangazaji wa Wasafi Redio? Je alikuwa anaongea Siasa au sayansi ya tiba? Hoja zake zimesimama kisayansi na dunia inajifanya kuwa haijamsikia kumbe imekosa namna ya kujibu hoja zake!!pale politics onapo zidi professiinalsm. ndicho konachotokea sasa.
hata madaktaru bingwa wameshindwa kuwa na msimano kabisa. wote wanasifu na kuabudu.. taaluma wameweka mfuko wa nyuma.
kisa mtu mmoja tu. ambae hana taaluma hiyo. kwa umoja wao MAT wanashindwa nn?
Exactly, wana vifaa duni vya kujikinga wakati wa kufanya utabibuand maybe wana uhaba wa vifaa. so wanafanya kazi kwa mazingira yale yale.
ndio maana wanakuwa exposed, lakin wapi watapeleka malalamiko haya? maana kila mahali ni siasa