Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

Lisu shikilia hapo hapo wameanza kutoa ngama
 
Exposure ni tatizo
 
Wenye elimu hawajigambi bali kazi zao ndiyo zinawatambulisha wewe haya maadiko yako yasiyo kuwa na maudhui ndiyo yanakutambulisha kuwa kichwani hamna kitu. Taahira mkubwa wewe.
Wewe huwezi ukaelewa maana nafahamu upeo wako ulivyo.
 
Ukikamatwa ukibanwa pumbu utatulia
 
Watanzania kuweni makini na jinga kama hili lisije kuambukiza ujinga kwa wengine na tukawa na taifa la wajinga kama lilivyo lenyewe. Kwa hili jinga mzazi wake aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ni nchi ya Tz pekee ambapo wanachama wa chama Tawala wanampigia chapuo Mgombea wa chama pinzani( Mbowe kuwa Mwenyekiti tena ) ukistahajabu ya nchi utayaona ya ccm,

Leo niko nimejiachia kimbwengo moja na lipikipiki la ccm akataka ajichanganye barabara kuu , nilitaka aingie kwa 18 zangu ni mbutue ila akajiwahi na kusoma upepo.

Kwani rangi sh ngapi ? Wameonya sana na vibao juu ,pumbavu
 
Pesa ikiingia hata kama ni Chafu kuna tatizo ? Wewe badala ulalamikie hawa ambao wanahamisha Kodi zetu na Rasilimali zetu hivyo kutuacha mafukura unalalamika Pesa zinazokuja ?


Hio ilikuwa 2013 sasa hivi itakuwa maradufu..., yaani ukitoa corruption ya hawa walamba asali wala huitaji kutembeza bakuli na kuwa ombaomba kila kona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…