Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

Huyu Lucas ni mtu wa mkoa Gani/ kabila Gani?? Samahani lkn kwa swali la kibaguzi🤔
 
Wale wanaotajwa kwneye report ya CAG wanaishia wapi? Mbona bado wako kwenye nafasi zao?
 
Ushoga umekutafuna mpaka kichwani
 
Hayajakusaidia hayo makaratasi ya jalalani huna tofauti na ngumbaru mwingine yoyote. Elimu ni outcome ya behavior change yani wewe ni takataka km asiye na cheti chochote bora usiseme udhalilishe walimu wako
Hilo laweza kuwa roboti jinga kwenye mfumo wa akili mnemba
 
Mbowe ndiyo hutakatisha pesa alizoiba chadema kwa njia ya kutengeneza madeni hewa kisha anajilipa pesa za chama kienyeji
 
😁😁😁😁
 
Hilo laweza kuwa roboti jinga kwenye mfumo wa akili mnemba
Chawa wa mbowe wengi ni wavuta bangi hujitoa fahamu na kuandika chochote bila hata kutafakari kwanza
 
Huyu Lucas ni mtu wa mkoa Gani/ kabila Gani?? Samahani lkn kwa swali la kibaguzi🤔
Mbowe ni mkabila huyo luka atakuwa ni house boy wake maana Akili zake ni ndogo kama za Dadali wenje na mbowe masimango
 
Watetezi wa mbowe mitandaoni wanamshukuru Lisu kwa kuwaletea Ulaji pesa toka kwa mbowe baada ya kumpiga pressure kubwa sana, Lisu kawasaidia chawa kula pesa za wizi toka kwa mbowe
 
Pesa alizoiba Mbowe ni pesa nyingi sana na sasa kaunda kamati nyingi kazipa pesa zimdidimize lisu ipo kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, wenje, sugu, Boniface na Wilium mungai, hicho ni kikundi hatari sana kinakula pesa za mbowe alizoiba kwenye hazina ya chama kama mchwa kwa lengo la kumhujumu kumdhoofisha Lisu,kimejiandaa kufanya kila linalowezekana ikiwemo uchakachuaji wizi wa kura mpaka Mbowe ashinde kwa njia haramu
 
Usije ukamuamini lissu maana wakati wowote anakuachia shuku.
Yule aliyekuwa mkuu ktk jkt alikuwa lisu et!??
Je lgm anayeteketea ktk honey port ya m7 humuoni!?


Tumeshindwa ripoti ya mkaguzi mkuu achilia mbali ya muamala fishe ?



Ukiwa MJI ga si lazima uwadhalili walimu wako na kuwatukana wazazi wako kama ufanyavyo
 
umbwa wewe
 
Naona umechanganyikiwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…