Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

Amepata somo kubwa sana leo mtoa mada.
 
Lissu hana kariba ya kuvuruga amani ya nchi yake, hizi ni propaganda za kipuuzi. Kwanza watanzania si wapuuzi kiasi cha ku mobilize kufanya vurugu kwa ajili ya mwanasiasa
 


Kama pesa ya diaspora ni chafu basi serikali ikataze pesa yeyeote kutoka kwa diaspora $1B tuone kama wanaweza. Usituchagulie mtu wa ku support.

Mchinga mjinga tu ndiye atakae amini kutafuta katiba ni virugu wanao amini hivyo ni machawa, hawaelwewi, mafisadi na familia zao mtu mwenye akili zake anaye taka mema kwa nchi yetu hawezi kukubali chaguzi za polisi na usalama wa taifa ni mjinga mjinga tu. Na pesa zitaingia mwaka huu tena nyingi sana kama Lissu atashinda
 
Unaelewa maana ya utakatishaji pesa na pesa chafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…