Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?tuanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.
Tunamtetea AllahVitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?
Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.
NAWASILISHA
Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.Why hii script sio mpya?
Hii script mbona inajirudia?..
Kanisa katoliki ni kama Coca cola..Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.
1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto.
Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
Wakati wanamtukana Jiwe walikua wanafanya siasa au uasi?Kanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
mimi sio muumini wa dini zenu,maana wote mna fanana.Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Kucheza ngomaJkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Wanafundishwa ukakamavu, ulinzi binafsi na taifa kwa ujumla ukitumia silaha.Jkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Acha ulevi.Kanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
Kwahiyo akina Ibrah class na mandonga wakose pakula.tuanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.