Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Hawa wenzetu siwaelewi kabisa sijui wanajiandaa na jambo gani?
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
Ivi mazoezi ya karate na ugaid vina mahusiano gani nyie maccchoko? Watu wavivu wa mazoezi huwa mna maneno Sana kkenge nyie, acheni chuki za kidini wapuuz nyie, ivi mlisikia lini magaidi wamevamia sehemu kwa kutumia mapigano ya mkono (karate)?
 
Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Michezo ya Ngumi na karate itafanya nini? Ama unafikiri mtu anaweza pindua Nchi kwa karate? Punguza kuangalia movie nyingi mkuu.

Ki Afya hii Michezo ni mizuri sana, kuliko kufa na kisukari ama magonjwa ya ajabu ajabu acha watu watoke jasho, kuna Sheria gani ya Nchi inakataza? Na kufanya mazoezi ni Ibada pia.
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
Ukiona mwenzako anajifunza ngumi na wewe anza kujifunza, siyo unakuja hapa unalialia
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
Wanajiandaa na DP World kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote,na ndiyo maana wameanzia mashuleni.
 
Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Mwaka 1996 tulikuwa tujifunza karate kanisa la katoliki Morogoro
 
Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.

1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto.

Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
Chadema ifutwe kabisa c
 
Kanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
Kanisa katoliki ni wavuruga amani ya nchi
 
Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Huko kwenye boxing na gym,wameajiandaa na nini
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
Pumbafuvu kama umeona wanajifunza kwa nini usilipoto polisi?
 
Back
Top Bottom