Tumia akili,huyu mwalimu alimpiga kichwani,taarifa ya hospitali,mwanafunzi,!maskini Sixtus(labda angekuja kuwa daktari bingwa),alivuja damu kichwani.Fikiria kipigo cha namna gani huyu mwalimu James,alimpiga mtoto mdogo wa miaka 7.Kama mwalimu angekuwa muislamu mngesema ni gaidi,au mwanafunzi aliyeuliwa angekuwa muislamu,mngemsema vibaya pia.Hapa mwalimu James na maskni mtoto Sixtus,wote ni wakristu.Hakuna muislamu aliyeleta uzi wa kukashifu dini za hawa.Wala kuwasema vibaya.Kuweni na akili wagalatia,nani kawa'l'oga?