Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hiyo unayoipenda majuzi imeahirishwa mechi ya MU na LiverpoolNdio maana niliacha kufuatilia this foolish league ya Tanzania miaka mingi.
wewe mjinga hivi wala sikujuaWanadhani kila mtu anahitaji sana kusikiliza hizo hekaya za huyo mzee aliyekuwa anataka Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani.
hapana ni jiwe huyoo.Hapa tusimlaumu Jiwe!
Haya ni makosa ya serikali ya Samia Full stop!
Hakika na bado mtajionea mengi nyie endeleeni kuipamba serikali ya mama yenu na kuidharau serikali ya hawamu ya tano.Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.
Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi
Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu, Serikali inaiagiza TFF kubadili ratiba ya mchezo huu wakati kukiwa na maelfu ya wananchi Uwanjani. Hili ni kosa, Serikali imewakosea sana wananchi.
Kwanza ni lini serikali ikawa na mamlaka ya kupanga ratiba za ligi?
Pili, Serikali inataka Kuwachonganisha wananchi na Mzee wetu mzee Mwinyi, Mtu asiyependa makuu, Kwa nini mlifanye tukio lake kuwa ni adha kwa wengine?—Je mzee Mwinyi ndiye aliyewatuma kubadili ratiba ya mambo mengine ya kijamii kwa ajili yake binafsi?
Huu utaratibu wa kufanya mambo kwa zimamoto zimamoto ni dalili za serikali dhaifu, isiyojiamini inayokurupuka!
Tunataka yeyote aliyehusika kubadili ratiba hii ya mchezo, ambayo wananchi walishawekeza akili zao na muda wao achukuliwe hatua mara moja! . Hatuwezi kuvumilia mikurupuko kama hii.
Na isitokee mkasingizia kuhusu Mfungo wa Ramadhani, Suala la ramadhani lilishajulikana toka mfungo ulipoanza kwa hiyo msisingizie eti kuwapa Waislamu muda mzyri wa kufuturu, Kwanza hata huo muda wa saa moja jioni Waislamu watakuwa bado wanafuturu kwa hiyo Msituletee hoja hii!
Tunataka serikali isifanye mambo kwa sababu yenyewe ina uwezo wa kutoa amri, bali lazima itekelezwe, lazima iheshimu timetable za wananchi.
Nimekereka sana na uamuzi huu wa Serikali kuingilia ratiba za Mpira, Ni mambo ya ajabuajabu kabisa haya!
Wewe inaonekana akili yako haipo sawa.Maku nasa waha
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

You have a point.Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

You have a point.
Ila serikali nayo wana sababu na nafikiri kikubwa ni kwamba Mzee Mwinyi pamoja na kuzndua kitabu chake leo pia ni siku yake ya kuzaliwa yaani ametimiza miaka 96.
Hivyo serikali imeonyesha udhaifu wake kiutendaji kwa kushindwa kupanga uzuri siku ya leo ili isiingiliane na mechi ya mpira wa Simba na Yanga.
Walipaswa kuliona hilo kitambo na kujipanga uzuri.
Haya masuala ya kudarizi shughuli kama hizi ni kasoro kubwa za kiufundi ambazo zahitaji marekebisho ya haraka.
Sasa uzwazwa ni upi hapo?Nilidhan huu uzwazwa umekwenda na mwendazake kumbe bdo upo???
Wew sio tu kichwa lako kubwa lina akili bali lina topeeeeeeWewe inaonekana akili yako haipo sawa.
Kwanini unatukana kwenye kitu kisichotakiwa utukane. Kuwa na acha usela mavi.Wew sio tu kichwa lako kubwa lina akili bali lina topeeeeee