Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Huwezi mtenganisha Muislamu na uislam.
Thus hata kama ni ajira,au upendeleo wowote ataanza na Muislamu mwenzake kabla ya factors zingine mfano professionality, experience,nk
Unaongea nini ?!!

Hivi hizo dini zenu za Kutoka nje zimekuja kutufanya tusithaminiane utu na UBINADAMU ?!!

Aliyekufundisha hayo mwambie kumlllmaammmyeeekeee!
 
Hakipo kitachoendelea,

Mkataba fake na BATILI utafutwa!!
Hapo nakuunga mkono na mguu, mkataba wowote "fake na batili utafutwa" itabaki mikataba orijino tu.

Kazi iendelee.
 
[emoji106][emoji2956][emoji7][emoji120][emoji123]
 
Uchaguzi huru na wa haki ni uwepo wa amani na utulivu baada ya zoezi la kupiga kura.....kinyume na hayo ni "illusions" tu za waliberali.....
 
TEC wapiga punyeto wameabika
Umenikumbusha mafunzoni unaambiwa

'shikeni silaha vizuri kazeni mikono hio nyie wapiga punyeto hio mikono legelege mnapiga punyeto tu kaza mikono hio'
 
Acha ujinga wewe mwanaume mzima unajisifia kuliwa kiboga na mwarabu! Wazazi wako wamekula hasara kubwa! Mwana siyo riziki na ndiyo kisa cha kuitwa Ritz!
TICTS wametula "viboga" na kutufikishia trilioni 7 nao ni ubia wa akina Karamagi na waHongKong... mwarabu anakuja kula "viboga vyetu" na kutupa trilioni 26....huoni ni faida hiyo ya kutoa "viboga vyetu"....

Kalia utajiri tu....wenzako tunautumia kmmmmyeeeeekkkkkoooo!!!
 
Nyumisi utakuwepo katika maandamano ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maandamano yameishia wapi?
Shida yenu mnakimbilia kutoa habari nusu bila kuimaliza. Msigwa kasema serikali itaendelea na uwekezaji wa bandari baada ya kuzingatia maoni ya wadau. Wewe unakimbilia kuishambulia CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…