Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Mumepuuzwa 🤣🤣🤣 Serikali haifanyii kazi matamko ya vikundi vya Dini na wapotoshaji
Mbona unajipinga taarifa yako?. Kusema kuzingatia maoni ya wadau ana maana gani?. Tatizo unakimbia kimvuli chako.
 
Uuzwaji wa bandari za Tanganyika uendane na mabadiliko ya sheria kuruhusu kushitakiwa kwa rais ili awajibike kwa mazambi anayoyafanya ambayo ni kichaa na punguani pekee anayeweza kufanya hivyo.
Kichaa ni wewe ambaye hata kuandika kiufasaha huwezi..."mazambi" [emoji1787][emoji1787]

Sasa unawezaje kuwa na akili ya LOGIC katika muktadha wa tafakuri jadidi ?!!!

Wewe punguani , TANGANYIKA ilifutwa na hayati Nyerere kwa sababu ya maslahi mapana ambayo kichwa chako hakiwezi kuyaelewa......

Siempre JMT[emoji120]
 
Afadhali umeongea...
 
Kwa hiyo waraka ni makaratasi kama Yale mengine au? 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe shida yako waraka?. Wale wametoa msimamo wao kwamba tuliupinga huo mkataba uchwara. Ili vizazi viwatoe kwenye orodha ya vibaraka.
 
Tofautisha maslahi ya taifa na maslahi ya serikali. DP World ni maslahi ya serikali Kama vile inavyokopa Sana kwa maslahi yake.
 
Wewe shida yako waraka?. Wale wametoa msimamo wao kwamba tuliupinga huo mkataba uchwara. Ili vizazi viwatoe kwenye orodha ya vibaraka.
Hawana lolote....

Kuna kipindi JPM alitaka mizigo ilipiwe kodi...uliona jinsi masheikh wa BAKWATA na maaskofu wa TEC walivyochukia na mishipa kuwasimama?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

MWENYEZI MUNGU hahitaji Fedha....akazitumie wapi ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tofautisha maslahi ya taifa na maslahi ya serikali. DP World ni maslahi ya serikali Kama vile inavyokopa Sana kwa maslahi yake.
Sasa maslahi ya taifa yanasimamiwa na wewe Anzuruni muuza komoni ?!!![emoji15][emoji1787]
 
Kwa hiyo waraka ni makaratasi kama Yale mengine au? 🤣🤣🤣🤣🤣
Shida hapa ni upeo wa uelewa (elimu). Kuna watu wanazungumzia hoja (mkataba), na kuna watu wanawazungumzia watoa hoja (waraka wa TEC). Tatizo linakuwa kubwa pale ambapo mtu haoni kama kuna tatizo
 
Aisee Yani Malaya kakubali kujiuza, halafu unamcheka aliyeshauri Malaya asijiuze. Very stupid.
Neno la dhihaha umellichagua na kulitoa kinywani mwako sasa sisi ni nani tuushike ulimi wako ?!!!

Tulikuwa na TICTS ya akina Karamagi na wale wa Hong Kong wakatupatia trilioni 7 ,hatukuwa malaya ?!!!

Leo tuwe Malaya kwa malengo ya kujikusanyia trilioni 26 ?!!!

Hivi shule ulikwenda kusomea "kupakwa mafuta" ili siku ukifa uwe na matuuunduuurrr "ngw'enyu"?!! [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…