Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Usitafute vikosa vidogo vya kiuandishi kuhalalisha mkataba wa hovyo kuliko mikataba ya hovyo kuwahi kutokea Tanganyika.Mkataba hauna ukomo,unampa mwekezaji uhuru kuliko nchi(akija mwekezaji mwngine ajulishwe)na haielezi tutapata kiasi gani?Ni kichaa pekee anayeweza kukubali takataka ya namna hiyo
 
TEC wapiga punyeto wameabika
Mkuu wangu matusi kwa chombo chenye kuheshimika si jambo jema....pamoja na tofauti zetu za kuwapinga TEC katika hili ila thamani yao ni kubwa....mnooo mkuu wangu....sorry for any inconveniences [emoji120]
 
Una final draft ya mkataba ?!!

Wapi umeelezwa mambo yote yamemalizwa ?!!!

Unazidi kujitia hamnazo ?!![emoji1787]
TANGANYIKA imeshaoza huko kaburini....
 
Msigwa anakwambia wasomi na wanasheria wanaoupinga mkataba wana usomi wa ajabu., mi naona ilitakiwa waweke debate ya serikali na wanasheria walioko nje ya Serikali ili tujue pumba na mchele.
Komredi Msigwa yuko sahihi [emoji120]
 
Kwa lipi sas wakati yey anapewa tu maelekezo, bendera futa upepo.
Unajichanganya....

Unataka akuunge mkono wewe unayefuata maelekezo na kuwa TIARA wa TEC ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo kelele ni zipi?
Au za wadandia hoja?
kamuulize bi spika yaliyomkuta pale kanisani kwake - hakuamini nini afanye je akusanye vitabu vyake asepe ama aagize maaskari wa Bunge wawarukie wale makatekista wanausoma huo waraka na kuusambaza kwa kila mwana jumuia.
 
Msijali watz!

Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
Hawezi kuja kutokea rais kichaa kama yule marehemu ambaye amesababisha hivi sasa serikali inalipishwa mabilioni ya hela kwa ujinga wake.
 
Kama mlikua mnapiga makelele ili kuwatisha wawekezaji imekula kwenu.
 
Hakuna mwenye muda wa debate, mahakama ilishamaliza kila kitu kwa kutoa hukumu ya kurasa zaidi ya tisini.
Kama mahakama yenyewe ilikili kuwa mkataba unamapungufu, Msigwa ni nani aseme mkataba hauna dosari. Only beneficiaries never seen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…