Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Kwa awamu hii, nashauri watu waongeze kasi kwenye kufungua kesi MIGA hata kama ulivunjiwa mkataba kwa kua na Kampuni hewa...😂
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM View attachment 2208759nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
Sisi Watanzania tunajua hilo ni dili la watu fulani
 
Dah !!! haya mambo haya kufanya wafanye wengine lawama apewe mwingine !!!!

Walioleta Symbion kwa Mikataba ya Ajabu (Hakuna Lawama)!!!!

Waliokuwepo wakati inaonekana sio Kheri kuwalipa Symbion ? (Hakuna Lawama)

Yule ambaye ameshaondoka / amekufa hawezi kujitetea (Apewe lawama zote chini ya Jua ila mazuri yote tuchukue Sisi)

Kweli combination ya Unafiki na Kukosa Aibu ni Combination moja Hatari Sana....
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM View attachment 2208759nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
Kwani Jiwe mwenyewe anasemaje huko motoni aliko?😂😂😂
 
Mambo aliyoyafanya Maghufuli mwenye kuyacontrol ni Maghufuli mwenyewe , nyie watoto wa mama mtalipishwa mno na wahuni .... The man was a legend , japo mi mwenyewe alinitia hasara ,bado acacia na wenyewe walishaona upenyo wa kulipwa... Jiwe angekuwepo hakuna angeleta choko choko ya kulipwa
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM View attachment 2208759nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
Nyinyi wajinga na wapumbavu mnapiga makofi kila ujinga hujui kuwa hiyo hela inapigwa kwa kisingizio cha kesi! Mnashambulia Magufuli kuvunja mkataba wakati nchi wezi wameikalia kooni wanapiga dili na wendesha mashitaka!
 
Ndio ujue kuwa Magufuli alikuwa Punguwani.
Hakufaa kabisa kuwa Raisi wa Nchi angeishia Uwaziri Mkuu
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM View attachment 2208759nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
Watu wameset mipango wajilipe halafu wanasingizia Magufuli. Walikuwa wapi kufanya hivyo kipindi mwamba yupo? Kifupi Watz hasa wasomi na wanasiasa ni bure Tu. Ngoja panya wawaokoe
 
Dah !!! haya mambo haya kufanya wafanye wengine lawama apewe mwingine !!!!

Walioleta Symbion kwa Mikataba ya Ajabu (Hakuna Lawama)!!!!

Waliokuwepo wakati inaonekana sio Kheri kuwalipa Symbion ? (Hakuna Lawama)

Yule ambaye ameshaondoka / amekufa hawezi kujitete (Apewe lawama zote chini ya Jua ila mazuri yote tuchukue Sisi)

Kweli combination ya Unafiki na Kukosa Aibu ni Combination moja Hatari Sana....
Hii ndiyo Tanzania yetu.
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM View attachment 2208759nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
Mje mrudie tena kuchagua rais kichaa
 
Magufuli alikuwa anarudisha mali kutoka kwa mafisadi
Ila sasa mafisadi wanagawana
Ilikuwa lazima capacity charge irudi. Wafaidika wakubwa sio wazungu ni mafisadi wa kianzania. Kila mtu aliona mgao wa Ruge na waliofaodika, wale waliopokea kutoka Standard Chartered waliwekwa siri kwa sababu ni wakubwa mno. Makamba kasema wazi kuwa CCM ilichukuliwa na wasio wenyewe. Magufuli amekufa wenye CCM wanatawala. Wana uwezo wa kuhakikisha chochote kinafanyika ili warudie ulaji wao. Mkataba wa Simbio ulifika mwisho na serikali ikaamua isi renew. Leo unaambiwa walipwe na si ajabu na capacity charge walipwe, ili mradi tu mabilioni walipwe mafisadi wa kitanzania kinyemela. Ila wafahamu kuwa Mungu wa mbinguni anawaona.
 
Wamarekani sio watu aisee.

Mlidhani ile Royal Tour ni bure.

Malipo yake ndio kama hivi na bado hawajaanza kutuchuna ngozi.

Mtajuta kuwafahamu mabeberu.

Hawana bure hao.
 
Sasa tunategemea nini kwa huyu mama ambaye hakwenda kuchukua form ya kugombea Urais tena kwa nchi kama Tanzania iliyo jaa madudu? Yaani sasa hivi Tanzania ndiyo imekuwa " sleeping giant" kweli kweli na watu wake ndo kwanza saa tano usiku wanaingia vitandani kulala usingizi wa pono.
 
Nchi hii tunapigwa sana.Badala ya kulalamika mitandaoni,tukae pamoja kujadili namna ya haraka ya kulikomboa taifa letu pendwa!.
Mambo ya kusubiri sijui uchaguzi au nini ni dalili za kukosa mipango.
 
Back
Top Bottom