Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wamesema tangazo la ajira litatolewa na mgawanyo wake utawekwa wazi kwa sekta zenye uhabaDaaah, kiukweli hakuna Fair, just imagine kuna jobless wa vitivo mbalimbali alafu Kila siku zikitoka Ajira tunasikia ni Afya na Ualimu.. inatusikitisha sana, Sasa sijui hawa wa Afya na Ualimu ndo wanaowapigia kura miaka yote..!!!
Frankly tunaelewa hizo ni sekta nyeti sana ndani ya Taifa letu.. Ila kwenye Ajira 32000, wanaweza kugawa hata hizo 10,000 zikawa za faculty tofauti ili tugawanegawane kidogo